Elimu ya hapa na pale
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 846
- 825
Kwani wanazidi wale waliokodi ndege na kuzunguka inchi nzima kuwaaminisha kwamba lowasa ni fisadi papa?? tena kwa mda wa miaka 8?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kumtaja tu unapata baraka daaah umeua mkuu[emoji14] [emoji14]Kulitaja tu jina la Lowassa unapata baraka, sasa kwa nini wasilitaje, kuna mtu hapendi kubarikiwa
ndio ujue ana mvutoWamemtaja kwa lipi, kumbuka hata Chadema wamewahi kumtaja kwa miaka nane mfululizo kwa tuhuma za ufisadi Na wakasema ushaidi wanao......japo mpaka leo wameufyata.
soma vizuri alichoandika mleta uzi.Angetajwa na magazeti ya Burundi ningestuka lakini kama ni haya ya wahariri wanaoshindwa maswali ya kumuuliza Rais hainihangaishi.
Tuna imani na Lowassa,,Wanamkubali..!
Tuna imani na Lowassa,,
as longer?But his ghost will haunt them as longer as CCM lives.
Nisahihi kabisaWamemtaja kwa lipi, kumbuka hata Chadema wamewahi kumtaja kwa miaka nane mfululizo kwa tuhuma za ufisadi Na wakasema ushaidi wanao......japo mpaka leo wameufyata.
What a hogwashy statement is this?Lowassa is indeed politically finished and will not rise again!
.......according to you!!!Lowassa is indeed politically finished and will not rise again!