Nukuu za Dossa Aziz na Harakati za Uhitaji
Dossa Aziz anatajwa kama mtu aliyekuwa na utajiri mkubwa ambao aliutumia kufadhili chama cha TANU na viongozi wake:
Dossa kama "Benki": Wakati wa harakati, bili zote za chakula na vinywaji za kamati ya ndani ya TANU katika hoteli ya Princess zilikuwa...
Nukuu za Simanzi na Buriani
Mohamed Said anaanza kwa kutoa taarifa ya kifo cha dada yake na kuelezea mazingira ya mazungumzo yao ya mwisho:
"Nimefiwa na dada yangu Mwajame Dosa Azizi Wajabe ni mkubwa kwangu mimi naikumbuka kama jana siku nilimtembelea nyumbani kwake Kigamboni ilikuwa mwaka wa...
Mwalimu Nyerere akisukuma gari pamoja na watu wengine
"USIMUONE VILE KAMBARAGE ANA KIBEGA"
Dossa Aziz
Picha hiyo hapo juu inanikumbusha Jumapili moja miaka mingi iliyopita tumekaa barazani nyumbani kwa Dossa Aziz Mlandizi.
Miaka mingi Dossa Aziz na Ally Sykes walikuwa hawajaonana.
Niliona...
DOSSA AZIZ ALIPOSAHAULIWA KUPEWA MEDALI 1985
Tarehe 27 Aprili, 1985 Julius Kambarage Nyerere, sasa akijulikana kama Baba wa Taifa, katika sherehe kubwa katika viwanja vya Ikulu, alitoa jumla ya medali 3979 kwa Watanzania waliochangia katika maendeleo ya taifa.
Kati ya wale ambao walipewa...
Akituelekeza namna ya kufika nyumbani kwake Kigamboni leo asubuhi Bi. Mwajame bint Dossa Aziz akamaliza kwa kusema, "Ukifika hapo utaona kibao kimeandikwa "Mwajame Street."
Mpwa wangu Yusuf aliyekuwa ananiendesha akashtuka na kuzungumza na Bi. Mwajame akasema "Mjomba Mtaa una jina lake!"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.