Jina hilo hilo. Kwa nini?

Jina hilo hilo. Kwa nini?

INSONSILE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,866
Reaction score
2,725
Hamjambo wana MMU.
Kuna hiki kitu kimenifikirisha. Wewe unayesoma inategemea tafsiri yako huenda ukaona halina maana yoyote lakini huenda kuna mtu anaweza kunipa picha kubwa zaidi ya ninavyofikiri.

Chukua jina la Mkeo, labda tuseme Loveness. Mnafunga ndoa, mnaishi, mnazinguana ila mnaishi hivyo hivyo kiugumu. Unachoshwa na tabia zake. Katika pita pita zako huko unashawishika kutafuta pahali pa kujituliza kuepuka misongo unayopewa na mkeo.

Katika hali isiyo kawaida unajikuta umekutana na binti ukampenda buana weee kumbe na yeye anaitwa Loveness. Hilo jina halikushtui,mnaendelea kusukuma gurudumu la maisha, mara unagundua na yeye ni pasua kichwa tu unaachana naye. Siku zinaenda miaka inaenda unakutana na binti mwingine tena anatokea kukupenda unamtrace unakuta tena anaitwa Loveness. Mnazinguana tena, mwisho unajukuta umedate na wanawake wanne wote wanaitwa Loveness.

Kwa nini? Uzi tayari
 
Chukua jina la Mkeo, labda tuseme Loveness. Mnafunga ndoa, mnaishi, mnazinguana ila mnaishi hivyo hivyo kiugumu. Unachoshwa na tabia zake. Katika pita pita zako huko unashawishika kutafuta pahali pa kujituliza kuepuka misongo unayopewa na mkeo. Katika hali isiyo kawaida unajikuta umekutana na binti ukampenda buana weee kumbe na yeye anaitwa Loveness. Hilo jina halikushtui,mnaendelea kusukuma gurudumu la maisha, mara unagundua na yeye ni pasua kichwa tu unaachana naye. Siku zinaenda miaka inaenda unakutana na binti mwingine tena anatokea kukupenda unamtrace unakuta tena anaitwa Loveness. Mnazinguana tena, mwisho unajukuta umedate na wanawake wanne wote wanaitwa Loveness.

Kwa nini? Uzi tayari
Pameanza kuchangamka sasa 🍻 🍺
 
😂😂😂😂 Badiiiii sanaaa hii

Wewe na akina loveness mna shida gani tafuta mtu wa kuitwa TABU, SHIDA etc
 
Hamjambo wana MMU.
Kuna hiki kitu kimenifikirisha. Wewe unayesoma inategemea tafsiri yako huenda ukaona halina maana yoyote lakini huenda kuna mtu anaweza kunipa picha kubwa zaidi ya ninavyofikiri.

Chukua jina la Mkeo, labda tuseme Loveness. Mnafunga ndoa, mnaishi, mnazinguana ila mnaishi hivyo hivyo kiugumu. Unachoshwa na tabia zake. Katika pita pita zako huko unashawishika kutafuta pahali pa kujituliza kuepuka misongo unayopewa na mkeo. Katika hali isiyo kawaida unajikuta umekutana na binti ukampenda buana weee kumbe na yeye anaitwa Loveness. Hilo jina halikushtui,mnaendelea kusukuma gurudumu la maisha, mara unagundua na yeye ni pasua kichwa tu unaachana naye. Siku zinaenda miaka inaenda unakutana na binti mwingine tena anatokea kukupenda unamtrace unakuta tena anaitwa Loveness. Mnazinguana tena, mwisho unajukuta umedate na wanawake wanne wote wanaitwa Loveness.

Kwa nini? Uzi tayari
Kuna vibaka wanaitwa Godsend, na maafisa ubashiri wanaitwa Godwin
Hakuna shida
 
Hamjambo wana MMU.
Kuna hiki kitu kimenifikirisha. Wewe unayesoma inategemea tafsiri yako huenda ukaona halina maana yoyote lakini huenda kuna mtu anaweza kunipa picha kubwa zaidi ya ninavyofikiri.

Chukua jina la Mkeo, labda tuseme Loveness. Mnafunga ndoa, mnaishi, mnazinguana ila mnaishi hivyo hivyo kiugumu. Unachoshwa na tabia zake. Katika pita pita zako huko unashawishika kutafuta pahali pa kujituliza kuepuka misongo unayopewa na mkeo.

Katika hali isiyo kawaida unajikuta umekutana na binti ukampenda buana weee kumbe na yeye anaitwa Loveness. Hilo jina halikushtui,mnaendelea kusukuma gurudumu la maisha, mara unagundua na yeye ni pasua kichwa tu unaachana naye. Siku zinaenda miaka inaenda unakutana na binti mwingine tena anatokea kukupenda unamtrace unakuta tena anaitwa Loveness. Mnazinguana tena, mwisho unajukuta umedate na wanawake wanne wote wanaitwa Loveness.

Kwa nini? Uzi tayari
La Familiaaaa Lamar Classmate King kong Tanzaniaaa Tanzaniaaaaaaa haaaaaaaaaa kwanza mie nina kipaji toka kwa Mungu baba mama mzazi amenijalia nifike mbali nimewakamata level zangu hawanifikii napata heshima mafans wa kila aina silii njaa nipo peace linanilinda jina I'm king kong........Ilalaaaa Ilalaaa Ilalaaaaa Mikono mfululu yaani papapapapaapapaaaa wamekaaaaaaaa!!
 
Tangu niingie ndoani miaka 13 ilopita, sijawahi kuchepuka na mchepuko wenye jina sawa na my wife, katika idadi yao kama 20+,.ndo leo nagundua hili.
 
Mleta mada inaonekana unasumbuliwa na vitu kidogo kidogo Sana.
Hapo hakuna cha ajabu zaidi ya coincidences tu
 
Back
Top Bottom