TECHMAN
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 2,649
- 1,128
Money,friends
Soma heading ya topic, kauliza jina uliloliona mwanzo. Money and friends are not names
Money,friends
Intelligence, Happiness, Health, power, love
Soma heading ya topic, kauliza jina uliloliona mwanzo. Money and friends are not names
Kasema jina uloliona mwanzo, intelligence sio jina
honesty, love, beauty, win, end, popular, happiness, ower, youth, fun,noa
perpuchy
We ndo unaenda chaka TECHMAN.kauliza which words,and not which names.
Embu rudia tena hiyo heading.lasivo wengi tuu wametaja maneno na sio majina.
Word ni neno au maandishi au unaweza kusema pia ni jina. inategemea wale utakao waambia wapate kujuwa kwa vizuri zaidi. inavyosomeka hivi (NI MAANDISHI GANI ULIYO YAONA KWANZA)? Unasemaje Mkuu TECHMAN na wewe Toa tafsiri yako ya ufasaha zaidi yangu.
Mleta uzi ndo kauliza jina ulionalo mwanzo, lakini kwenye image kumeandikwa word. sasa kwanini tusijibu kama alivyo andika mleta uzi? by the way sisi wa pemba english kwetu mzozo inawezekana mie ndo nachanganya. nisaidie kama Jina kwa kizungu ndo word.
Jina Gani uliloliona hapo mwanzo?![]()
cc jason MziziMkavu
Word ni neno au maandishi au unaweza kusema pia ni jina. inategemea wale utakao waambia wapate kujuwa kwa vizuri zaidi. inavyosomeka hivi (NI MAANDISHI GANI ULIYO YAONA KWANZA)? Unasemaje Mkuu TECHMAN na wewe Toa tafsiri yako ya ufasaha zaidi yangu.
Kama huna cha kuongeza bora unyamaze kimya tu itakuwa bora kwako kuliko kujifanya wewe ni Mwalimu wa Kiingereza.Bwana MziziMkavu ungenambia nitoe tafsiri ya ufasaha ningetoa, lakini umesema nitoe tafsiri yangu tena yenye ufasaha zaidi yako. kwanza sina tafsiri yangu binafsi ila ya kamusi, pili siwezi toa tafsiri fasaha zidi yako kwa kuwa wewe ndo mwenye hii mada na unajua unalenga nini, KWAHIYO nakubaliana na tafsiri yako.
Kama huna cha kuongeza bora unyamaze kimya tu itakuwa bora kwako kuliko kujifanya wewe ni Mwalimu wa Kiingereza.
Ndugu yangu MziziMkavu ulikuwa huna haja ya kuyaandika hayo kwamaana nilishasema nakubaliana na tafsiri yako, sasa mambo ya kujifanya, sijui bora unyamaze yanatoka wapi tena, mie nilijibu hoja kwa hoja na wala sijakukashifu na nikahitimisha kwa kukubaliana na hoja. NAOMBA MI NAWEWE KWA LEO TUISHIE HAPA. kwamaana nakuheshimu na pia naheshimu sana michango yako katika JF.
Huna haja ya kujibu haya kwamaana sitajaona, nimekuweka kwenye ignore list
Usijali nitowe huko kwenye ignore list kama utakuwa hujakasirika Mkuu.@TECHMANNdugu yangu MziziMkavu ulikuwa huna haja ya kuyaandika hayo kwamaana nilishasema nakubaliana na tafsiri yako, sasa mambo ya kujifanya, sijui bora unyamaze yanatoka wapi tena, mie nilijibu hoja kwa hoja na wala sijakukashifu na nikahitimisha kwa kukubaliana na hoja. NAOMBA MI NAWEWE KWA LEO TUISHIE HAPA. kwamaana nakuheshimu na pia naheshimu sana michango yako katika JF.
Huna haja ya kujibu haya kwamaana sitajaona, nimekuweka kwenye ignore list