Khadija Jina Ambalo Linakaa Kichwan Milele
Yule mr "misifa"Bashite, Gambo au Anna Mghirwa?
Anza wewe kutaja majina yako ya kirussiaKama jnawezekana mtu ukitaja jina sema na sababu gani hutaki kulisikia hilo jina?
Muhaya ninKweli yan, sema mungu hajanipa tu uwezo huo .... Kuna wanawake wengine ni makatili, mabandists, nje kondoo ndan chui... Pengine n asili yake pia ilichangia
Vipi walikuchukulia mumeo/buzi lako?Siwazuri,Havijawa,Shida,tabu na majina yote ya kimafumbo