Jina gani hutaki kabisa hata kuliskia

Jina gani hutaki kabisa hata kuliskia

Mpaka sasa hivi jina langu halijatajwa.
 
LACIA STRONG BIN LASIA
Hili ni jina la ajabu la msichana niliyemuona katika ndoto tu. Nilimpenda akanipenda nikaona raha ya mapenzi. Doo! Aliondoka akanitaarifu atarudi, japo hakuniambia lini. Hadi leo hii nampenda sana huyu mtu. Sura yake ipo kichwani hadi leo, laiti ningejua kuchora hakika ningemchora. Hii ni ndoto ya kweli kabisa nilioota septemba 2011. Nampenda sana huyu mtu niliyemuona katika ndoto tu!
 
Why shocked!!!??
Rafiki yako wa kiume unamuitaje?? lol
Mimi rafiki wa kike kwa kimombo namuita Girlfriend.... hw abt u??

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
msela namuita... mwanamke huwa simuiti girlfriend
 
Back
Top Bottom