Jimbo moja tu salama Njombe na Iringa

Jimbo moja tu salama Njombe na Iringa

Filikunjombe anapigwa vita ndani ya ccm kwa misimamo yake, hatapitishwa na chama chake kugombea.
Hivi, ni kwanini sisi tunayo hii sana. Kwamba usipokubaliana na mtu swala flani basi huyo ni adui yako moja kwa moja.

Kwa mfano hata humu, unaweza kuwa against views za mtu kwenye swala la imani kwa mfano, ila ukashangaa huyo mtu anakuchukia na kuwa na negative comments kwenye kila post utakayo post hata zile ambazo anakubalina na wewe. Hehehehe.
We need to learn to agree to disagree.
 
Mzee Tupatupa hali hiyo ni nchi nzima. Kumbuka kuwa Mkoa huo wakati huo ukiwa Iringa bila ya Njombe mliufanyia sherehe kwa kuwapa kura nyingi ninyi mwaka 2005? Wananchi wanabadilika ila cha ajabu ni hao viongozi wako hawaoni, hawasikii na wala hawataki kupapasa ili kujua. Andika hiyo ripoti ikakae hapo Lumumba bila kufanyiwa kazi hivyo mtakuwa mmechezea pesa za chama bure. Hakika kuna siku kina Elizabon, simiyu yao na wenzao watakuja kukukumbuka watakapokuja kujikuta hawana tena ID za hapa JF
Hata kule Mara kamanda Vincent Nyerere anaendelea na kampeni ya tokomeza CCM.
 
Mkuu hatua za awali zimeanza kuchukuliwa kwa kasi sana na Mh Jenister Mhagama baada ya kupeleka umeme wa jua kwenye club ya pombe za asili .
 
CCM wanamwandaa Pindi Chana akagombee kwenye jimbo la ludewa wameshamjengea nyumba huko.Deo itabid atafute chama atakachosimama ili atetee jimbo
 
Filikunjombe anapigwa vita ndani ya ccm kwa misimamo yake, hatapitishwa na chama chake kugombea.
Hahahahah kuna majimbo mtifuano utakuwa mkali sana magambani.
Wasira Vs Esther Bulaya - Bunda
Filikunjombe Vs Pindi Chana - Ludewa
Nundu Vs Ummy Mwalimu -Tanga mjini
Abduaziz Vs Bi mkubwa - Lindi mjini..
 
kwa sasa,ccm ni kilio kila kona hata mkoa wa Smiyu hawapati jimbo hata moja tena mzee wa vijisenti wanahamu nae sana!
 
kwa mtazamo wangu kutathmini hali ya uchaguzi mkuu wa mwakani kwakutazama hali ya kisiasa iliyopo sasa ni mapema mno,kwanza tusubiri uchagzi wa serikali za mitaa upite halafu ndo tuanze kufanya hizo tathmini japo na penyewe itakuwa bado pia kwani kwa kawaida joto la uchaguzi hupanda sana wakati wa kupitisha majina ya wagombea na wakati kampeni zinapoanza hapo ndipo watu hufanya maamuzi,lakini kwa sasa ni kujipa moyo eti kusema kwamba majimbo fulani ni ya chama fulani.
 
Tatizo wenyeji wa mikoa hii sio kama wa arusha au kaskazini , filikunjombe hatapitishwa na ccm unless lile jimbo linagawanywa mwakani ccm wanamwandaa pindi chana kugombea , njombe kwa makinda pale kweli kuna shida wananchi wamechoka , ccm wanamwandaa mwanyika kugombea hapa , njombe kwa deo sanga pale makambako kwa kweli waliiba sana kura ni aibu huya jamaa sijui darasa la pili tatizo sasa ana nguvu sana manake ni mwenyekiti wa ccm mkoa inaweza kuwa ngumu kumtoa ila tunashukuru mzee mangula karudi huyu jamaa wakimtoa ccm itashika jimbo , kule makete ccm watashinda , i think jimbo la njombe magharibi , iringa mjini na hapa kwa makinda ndio yana utata
 
leo nijitambulisha rasimi. Natoka wilaya ya njombe jimbo la njombe kusini na natarajia kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya chadema.
Jina langu ntafunguka novemba mosi siku rasimi ya kuongea name wana habari kuweka wazi nia yang, dhamira, malengo, sababu na cv yangu kwa ujumla.
Ahsanteni.
katengeneza njia ya wewe kupita,kaandae misingi ya chama,wasiliana nami kupitia 0717288306 nikupe mbinun ya kushinda jimbo.
 
Ni Jimbo la Ludewa la Deo Filikunjombe. Mengine ni utata mtupu. Kuanzia Njombe Kusini na Njombe Kaskazini, Kilolo, Iringa Mjini na mengineyo katika mikoa hii, hali ya CCM si ile ya zamani. Sikuziona dalili za kulirejesha Jimbo la Iringa Mjini mikononimwa CCM.Wananchi wanataka kutuacha mkono. Mchungaji Msigwa bado ananguvu,ushawishi na mizizi.

Wanadai wametuchoka na kutaka kubadili chama cha kuwaongoza. Hatua za harakazapaswa kuchukuliwa. Wananchi wanadai kuwa walihudhuria mikutano ya timu ya KatibuMkuu Kinana ili kusikilizajipya.Hawakulisikia.Hawaoni chochote.Wamebaki kamazamani. Wamechoka yale yale. Wale wa Kalenga,hawajaona tumaini la Mbungempya-Mgimwa.

Kwa Deo Filikujombe, upinzani hauna nguvu kutokana na kukubalika kwa kijanahuyu. Filikujombe anapedwa na wana-CCM na hata wapinzani. Yuko salama na Jimbolake liko salama kwa CCM kulitetea mwaka 2015. Majimbo mengine humu Njombe naIringa ni utata kwelikweli.

Hali halisi humu mikoani ni 'tumbo-joto' kwa CCM yetu. Tusonge mbele tukitekeleza Ilani ili kurudisha matumaini ya wana-Njombe na Iringa kusalia madarakani 2015.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Njombe naIringa)

jimbo la ludewa liko salama so kwasababu chama chake Bali kwa sababu ya mapenzi yake kwa wapiga kura wake zaidi kuliko chama chake. ndo maana hata ktkBMK hakushiriki sana
 
Na iwe kweli mpaka mwisho. Na siku ya kupiga kura mpaka kuhesabu hatutoki maeneo na kura zitalindwa kuliko 2010. Nawashauri CCM waongeze Policcm.

CCM wana kale kautaalam ka ku-manouver matokeo na kupata ushindi hata kama kura hazikutosha! Sijui wanafanyagaje wajameni?
 
Ni Jimbo la Ludewa la Deo Filikunjombe. Mengine ni utata mtupu. Kuanzia Njombe Kusini na Njombe Kaskazini, Kilolo, Iringa Mjini na mengineyo katika mikoa hii, hali ya CCM si ile ya zamani. Sikuziona dalili za kulirejesha Jimbo la Iringa Mjini mikononimwa CCM.Wananchi wanataka kutuacha mkono. Mchungaji Msigwa bado ananguvu,ushawishi na mizizi.

Wanadai wametuchoka na kutaka kubadili chama cha kuwaongoza. Hatua za harakazapaswa kuchukuliwa. Wananchi wanadai kuwa walihudhuria mikutano ya timu ya KatibuMkuu Kinana ili kusikilizajipya.Hawakulisikia.Hawaoni chochote.Wamebaki kamazamani. Wamechoka yale yale. Wale wa Kalenga,hawajaona tumaini la Mbungempya-Mgimwa.

Kwa Deo Filikujombe, upinzani hauna nguvu kutokana na kukubalika kwa kijanahuyu. Filikujombe anapedwa na wana-CCM na hata wapinzani. Yuko salama na Jimbolake liko salama kwa CCM kulitetea mwaka 2015. Majimbo mengine humu Njombe naIringa ni utata kwelikweli.

Hali halisi humu mikoani ni 'tumbo-joto' kwa CCM yetu. Tusonge mbele tukitekeleza Ilani ili kurudisha matumaini ya wana-Njombe na Iringa kusalia madarakani 2015.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Njombe naIringa)
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, bora wewe mzee Tupatupa umeamua kuuvua unafiki na kuwaeleza magamba wenzio ukweli mchungu wasiotaka kuusikia kuwa kulirejesha jimbo la Iringa mjini kwa Magamba, NI NEXT TO IMPOSSIBLE MISSION!
 
natamani KINANA agombee ubunge IRINGA MJINI , HIVI KWAO HASA NI WAPI ?
 
Filikunjombe anapigwa vita ndani ya ccm kwa misimamo yake, hatapitishwa na chama chake kugombea.

Wanamtayarisha mtoto wa Singasinga mmoja kuja kushindana na Deo; lakini hata kama magamba hawatampitisha, Deo atarudi bungeni kama mbunge kwa nja mbadala!!
 
Leo nijitambulisha rasimi. Natoka wilaya ya Njombe jimbo LA Njombe kusini na natarajia kuwania Ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA.
Jina langu ntafunguka Novemba mosi siku rasimi ya kuongea name wana habari kuweka wazi nia Yang, dhamira, malengo, sababu na CV yangu kwa ujumla.
Ahsanteni.

utapata kura mbili, yako na ya mume wako tu
 
Back
Top Bottom