Jimbo moja tu salama Njombe na Iringa

Jimbo moja tu salama Njombe na Iringa

Taja kijiji nikudadavulie...

Ila Makinda anapiga makombora ya Scud wapinzani wake ndani na nje ya chama chake na lazima atagombea tena

Chadema njombe haipo kabisa.. uwemba, igwachanya, makowo hakuna mwanachadema hata mmoja
 
Ni Jimbo la Ludewa la Deo Filikunjombe. Mengine ni utata mtupu. Kuanzia Njombe Kusini na Njombe Kaskazini, Kilolo, Iringa Mjini na mengineyo katika mikoa hii, hali ya CCM si ile ya zamani. Sikuziona dalili za kulirejesha Jimbo la Iringa Mjini mikononimwa CCM.Wananchi wanataka kutuacha mkono. Mchungaji Msigwa bado ananguvu,ushawishi na mizizi.

Wanadai wametuchoka na kutaka kubadili chama cha kuwaongoza. Hatua za harakazapaswa kuchukuliwa. Wananchi wanadai kuwa walihudhuria mikutano ya timu ya KatibuMkuu Kinana ili kusikilizajipya.Hawakulisikia.Hawaoni chochote.Wamebaki kamazamani. Wamechoka yale yale. Wale wa Kalenga,hawajaona tumaini la Mbungempya-Mgimwa.

Kwa Deo Filikujombe, upinzani hauna nguvu kutokana na kukubalika kwa kijanahuyu. Filikujombe anapedwa na wana-CCM na hata wapinzani. Yuko salama na Jimbolake liko salama kwa CCM kulitetea mwaka 2015. Majimbo mengine humu Njombe naIringa ni utata kwelikweli.

Hali halisi humu mikoani ni 'tumbo-joto' kwa CCM yetu. Tusonge mbele tukitekeleza Ilani ili kurudisha matumaini ya wana-Njombe na Iringa kusalia madarakani 2015.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Njombe naIringa)

Hata hivyo, huyu kijana ana changamoto moja kubwa. Ni mfuasi mkubwa wa ukweli na kuheshimu nafsi yake. Dhamira yake inamwongoza katika masuala ya siasa jambo ambalo huwa ni gumu sana kueleweka kwa wanasiasa hasa wakongwe. Ukiwa mkweli unapata upinzani mkali kwa watu usiowategemea.
 
Ni Jimbo la Ludewa la Deo Filikunjombe. Mengine ni utata mtupu. Kuanzia Njombe Kusini na Njombe Kaskazini, Kilolo, Iringa Mjini na mengineyo katika mikoa hii, hali ya CCM si ile ya zamani. Sikuziona dalili za kulirejesha Jimbo la Iringa Mjini mikononimwa CCM.Wananchi wanataka kutuacha mkono. Mchungaji Msigwa bado ananguvu,ushawishi na mizizi.

Wanadai wametuchoka na kutaka kubadili chama cha kuwaongoza. Hatua za harakazapaswa kuchukuliwa. Wananchi wanadai kuwa walihudhuria mikutano ya timu ya KatibuMkuu Kinana ili kusikilizajipya.Hawakulisikia.Hawaoni chochote.Wamebaki kamazamani. Wamechoka yale yale. Wale wa Kalenga,hawajaona tumaini la Mbungempya-Mgimwa.

Kwa Deo Filikujombe, upinzani hauna nguvu kutokana na kukubalika kwa kijanahuyu. Filikujombe anapedwa na wana-CCM na hata wapinzani. Yuko salama na Jimbolake liko salama kwa CCM kulitetea mwaka 2015. Majimbo mengine humu Njombe naIringa ni utata kwelikweli.

Hali halisi humu mikoani ni 'tumbo-joto' kwa CCM yetu. Tusonge mbele tukitekeleza Ilani ili kurudisha matumaini ya wana-Njombe na Iringa kusalia madarakani 2015.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Njombe naIringa)
[/QUOTE

Vipi kama mtatumia ile mbinu yenu ya wizi wa kura?
 
Mkoa nisioona mbwembwe za upinzani ni Kagera pamoja na kwamba una historia ya Bukoba mjini, kyerwa,biharamulo magh.na muleba kask kuwahi kuwa wapinzani.
 
Kule Kyela napo ni kugumu kwa CCM. Ni jimbo lililochoka linalohitaji damu mpya
 
fanyeni research msilopoke tu,halafu ikifika uchaguzi mnasema mmeibiwa kura,,upinzani njombe hakuna,
mfano mdogo ni njombe Magharibi..hili jimbo lilifunguliwa ofisi za Chadema kila baada ya mita mia, baada ya Nyimbo kujitoa chadema kwa kugombana na SLAAH, OFISI ZOTE ZIMEFUNGWA NJOMBE MAGHARIBI..sasa huo upinzani umetoka wapi? watu hawana hata ofisi moja jimbo zima unasema kuna upinzani?
Nilikuwa kwenye research yangu miezi miwili iliyopita vijiji vya jimbola njombe magharibi-ukianzia kitovu chenyewe kijiji cha ilembula hakuna chadema wala cuf wala tlp wala nccr,,
tusijipe matumaini na hawa wanaopiga kelele kwenye mitandao,mtu anasema upinzani ni nchi zima kumbe hajawahi hata fika kwenye vijiji vyenyewe ambako ukienda unashanga kila mtu ccm..hawa upinzani mikutano yao wamejitahidi sana wameishia tarafani huko kwenyewe kulikoungua shoka mpini ukabaki hawaendi
 
Kwa anna makinda njombe katika madiwani 14 chadema wana diwani mmoja, ccm madiwani 13..
 
Filikunjombe anapigwa vita ndani ya ccm kwa misimamo yake, hatapitishwa na chama chake kugombea.

Na kuna siku W. J. Malecela aliwahi kusema humu kuwa jimbo hilo sasa anapewa mwanadada nadhani ndio litapotea jumla if that's true
 
Last edited by a moderator:
Google translate au?

Aisee unajua nasikia kila kura moja ya ccm wanaona kama 2 na kila mbili za upinzani wanaona 1. Ni kaugonjwa ka kufantiwa research.

Maher-shalal-hash-baz = Haraka kuteka nyara

Not google translate but Biblical!

Soma Isaya 8:1-4
 
huo upinzani wanaosema uko wapi? tuache kuota ndoto za mchana,Njombe magharibi hakuna hata diwani mmoja wa upinzani

subiri moto wa 2015 , kwanza ni kwanini kijana aichague tena ccm ? Chama kilichokiri kushindwa kuwahudumia wananchi !
 
Chadema njombe haipo kabisa.. uwemba, igwachanya, makowo hakuna mwanachadema hata mmoja
Hujui usemacho au umekaririshwa mfano tu diwani wa Njombe mjini ni wa Chama gani? Mimi nipo Uwemba na ni mwanachadema
 
huo upinzani wanaosema uko wapi? tuache kuota ndoto za mchana,Njombe magharibi hakuna hata diwani mmoja wa upinzani

Kulikuwa na diwanin wa CHADEMA Arumeru Mashariki aliposhinda Nasari ?

Wananchi wanaweza kukupa madiwani wakakunyima Ubunge mfano ungine n Jimbo la Mbeya Mjini kwa Sugu
 
Tatizo la upinzani wanapiga kelele humu huko vijijini hawafiki , kuna mdau kasema kweli hapa , wanahitaji kwenda vijijini , nyimbo alijitahidi sana aisee , alitengeneza matawi njombe magharibi , akagombana na slaa na makao makuu chadema , kule hamna matawi sasa ya chadema lakini bado watu wanakuja kwenye mtandao 2015 ccm wataona lazima washindwe wakati kinana anashinda huko anakula ugali asubuhi na mabalozi wa ccm , kazi wanayo kubwa sana upinzani wanahitaji kujipa miaka 10 kujenga vyama vya upinzani kuanzia chini , ccm itashinda majimbo mengi zaidi ya chadema kwenye mikoa ya iringa na njombe 2015 kama hali itaendelea kuwa hivi hivi
 
Back
Top Bottom