Jimbo moja tu salama Njombe na Iringa

Jimbo moja tu salama Njombe na Iringa

Na kuna siku W. J. Malecela aliwahi kusema humu kuwa jimbo hilo sasa anapewa mwanadada nadhani ndio litapotea jumla if that's true

Pinda Chana-Naibu Waziri ndiye anapelekwa na CCM kumtoa Filikunjombe sababu CCM inadai yy ni mpinzani ndani ya chama!

Filikunjombe akienda CHADEMA atashinda lkn issue ni kuwa akipewa ama ubalozi au ukuu wa Mkoa/Wilaya je atakataa?
 
Last edited by a moderator:
natamani KINANA agombee ubunge IRINGA MJINI , HIVI KWAO HASA NI WAPI ?
Anaoriginate kutoka Somaliland, sasa kwa kuwa aliondoka huko long time ago, hata akienda huko leo, hakuna chama chochote kitakachompa form ya kugombea uongozi hata wa kata, zaidi sana sana atakuwa target ya Al shabaab, kwa kuwai wanajua Kenya na TZ ni ndugu moja!
 
Back
Top Bottom