Jimbo la TARIME linaniuma!

Jimbo la TARIME linaniuma!

Mlungula ulimshindisha


tarime kweli imekula kwenu, sikuamini nilipomsikiliza mbunge wenu kwa mara ya kwanza anakera na inaonekana ni mbumbumbu. Nililaani sana siku hiyo na sikuelewa ilikuwaje jamaa huyo alishinda. Nahisi mlikuwa na mvutano wa mambo ya koo ndo yaliyowaponza.
 
huyu mwandishi wa vitabu ana bonge ya ghorofa pale mbezi jogoo. huko tarime anafika lini?
 
Kwa nature ya watu wa hapa tarime,hatukupaswa kuongozwa na magamba,tamaa za watu wachache zimetupotezea jimbo letu kwa miaka mi5,inaniuma sana hali hii hasa ninapoliona hili gamba walilolichagua linafanya madudu,rest in peace my brother CHACHA WANGWE,tutakukumbuka milele...Tarime is missing ur presence!
Wanatarime wenyewe walidanganywa kwa tshet,kanga,fulana na kofia pamoja na pesa ya mlo mmoja wakauza haki yao kwa miaka mitano! Acha wajifunze ili wasidanganywe tena!
 
Wamura mang'ana ga sarika!To change the future is not simple matter it flow with danger R.I.P Chacha Wangwe.
 
Wanatarime wenyewe walidanganywa kwa tshet,kanga,fulana na kofia pamoja na pesa ya mlo mmoja wakauza haki yao kwa miaka mitano! Acha wajifunze ili wasidanganywe tena!
wanatarime hawana makosa,charles mwera ndo aliharibu mambo pale kwa tamaa zake za madaraka alvyosababisha mgawanyiko wa kura za upinzani
 
kuna watu wana mtetea mbunge wao nyambari nyangwine tena ukimsema vibaya wanaweza kukuchinja kwa mapanga
 
Kwa nature ya watu wa hapa tarime,hatukupaswa kuongozwa na magamba,tamaa za watu wachache zimetupotezea jimbo letu kwa miaka mi5,inaniuma sana hali hii hasa ninapoliona hili gamba walilolichagua linafanya madudu,rest in peace my brother CHACHA WANGWE,tutakukumbuka milele...Tarime is missing ur presence!

Pole, kwa mtindo huu lazima umie moyo.

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 265"] TARIME Candidates
[/TD]
[TD="width: 132"] Political Party
[/TD]
[TD="width: 144"] Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 138"] Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 265"] NYANGWINE NYAMBARI CHACHAMARIBA
[/TD]
[TD="width: 132"] CCM
[/TD]
[TD="width: 144"] 28,064
[/TD]
[TD="width: 138"] 38.49
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 265"] WAITARA MWITA MWIKWABE
[/TD]
[TD="width: 132"] CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 144"] 27,334
[/TD]
[TD="width: 138"] 37.49
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 265"] WANGWE PETER KEBA
[/TD]
[TD="width: 132"] NCCR-MAGEUZI
[/TD]
[TD="width: 144"] 7,811
[/TD]
[TD="width: 138"] 10.71
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 265"] MWERA CHARLES NYANGURU
[/TD]
[TD="width: 132"] CUF
[/TD]
[TD="width: 144"] 7,368
[/TD]
[TD="width: 138"] 10.11
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 265"] MCH. JACOB MWITA CHACHA
[/TD]
[TD="width: 132"] UDP
[/TD]
[TD="width: 144"] 185
[/TD]
[TD="width: 138"] 0.25
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 265"] NYARONYO MWITA KICHEERE
[/TD]
[TD="width: 132"] TLP
[/TD]
[TD="width: 144"] 145
[/TD]
[TD="width: 138"] 0.2
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 265"]
[/TD]
[TD="width: 132"] SPOILT VOTES
[/TD]
[TD="width: 144"] 2,005
[/TD]
[TD="width: 138"] 2.27
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"] TOTAL
[/TD]
[TD="width: 144"] 72,912
[/TD]
[TD="width: 138"] 100
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"]
[/TD]
[TD="width: 144"]
[/TD]
[TD="width: 138"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kwa bahati mbaya kama ilivyo majimbo mengi ya yaliyo na wabunge wa CCM, mbunge wa Tarime anawakilisha CCM Bungeni badala ya wananchi wa Tarime.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom