Jimbo la TARIME linaniuma!

Jimbo la TARIME linaniuma!

The Magnificent

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
2,694
Reaction score
1,250
Kwa nature ya watu wa hapa tarime,hatukupaswa kuongozwa na magamba,tamaa za watu wachache zimetupotezea jimbo letu kwa miaka mi5,inaniuma sana hali hii hasa ninapoliona hili gamba walilolichagua linafanya madudu,rest in peace my brother CHACHA WANGWE,tutakukumbuka milele...Tarime is missing ur presence!
 
polen sana ingawa nami ni wa uko uko lakin akuna jinsi huyu mbunge wenu yuko hapa jogoo mbenzi ndipo anapoishi nyie mnateseka uko poleni sana
 
Kweli mura we ni wa huku huku hata username inaonesha nyamwabho!
 
poleni sana sana gamba ndivio lilivio japo ngumu kumeza itabidi mvumilif 5
 
Tarime kweli imekula kwenu, sikuamini nilipomsikiliza mbunge wenu kwa mara ya kwanza anakera na inaonekana ni mbumbumbu. Nililaani sana siku hiyo na sikuelewa ilikuwaje jamaa huyo alishinda. Nahisi mlikuwa na mvutano wa mambo ya koo ndo yaliyowaponza.
 
Sio mambo ya koo,charles nyanguru mwera,former tarime mp aliyehamia ccmB baada ya kushindwa kwnye kura za maoni za CDM,then kura za upinzani zikagawanyika...Za magamba zikabaki constant!
 
Mshinekizeni ajiuzulu, Mbona R.A amekubali kuachia ngazi pamoja na utajiri wote, Wananchi mkiamua atatoka tu! mfano wa Tunisia na Misri
 
Mlijiandikisha lkn? maana wengi wetu tumekuwa tunalalamika lkn hatujiandikishi wala kwenda kupiga kura! next time hakikisha unajiandikisha na kwenda kupiga kura
 
WanaTarime mna bahati mbaya sana. Yule Mkuu wa Wilaya aliyeshindwa simfahamu vizuri. Lkn yule aliyetaka kugombea toka UDOM hafai kabisa, bahati nzuri alishindwa. Jamaa huyu hafanani kabisa na wakurya: hana msimamo, ni mwongo na nimwoga sana. Asingewatetea wanaTarime kwa lolote lile. Inaelekea hakuna wagombea wazuri toka ndani ya CCM. Tarime inafaa itawaliwe na wanaCDM
 
Labda aombee huyu jamaa wa saiv afe kwanza kuwe na uchaguz mdogo
 
Pole sana BUGUMYA! Sasa ilikuwaje mkachagua Magamba???????? Nawasikitikia hiyo miaka 5 mpaka iishe! Sipati Picha kwanza mbunge wenu anabana Mitaa ya Sinza Na Bamaga anajinafasi tu! Sijui kwanini hamkumchagua MWITA ????????????????......KWA KWELI MURA tutamkumbuka CHACHA WANGWE! Mungu ailaze Roho yake pema. AMINA!
 
Mwita alikuwa Rais pale udsm. Lilikuwa ni kosa kubwa sana kutomchagua Mwita Mwikwabe wa Marwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom