Jimbo la Tarime liliuzwa kwa shilingi milioni tano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimbo la Tarime liliuzwa kwa shilingi milioni tano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zamlock, Jan 5, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  inasemekana jimbo la tarime liliuzwa kwa shilingi milioni tano na aliye pewa rushwa hyo alikuwa ni wakala wa chadema ambaye mke wake alipigwa chini kwenye kura za maoni ubunge viti maalumu kutokana na kuwa na elimu ndogo zidi ya mpinzani wake ambaye alikuwa na degree ingawa huyo aliyekuwa na elimu ndogo ndiye alikuwa ameshinda akaililia haki yake basi nao wakaona ni njia mbadala ya kuangamoza chama, ni habari zisizokuwa na uhakika lakini walio wengi ndivyo wanenavyo jinsi jimbo lilivyouzwa,
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />

  Source please!
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  za mitaani yo!!! za mitaani yo!!
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Na unategemea tuendelee na hoja yako kwa kuparamia tu hivo sio??? Hebu jaza mapengo mengi yanayotuchungulia hayo ndio tupate pa kuanzia ndugu wa Tarime, tujuze zaidi.
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Chomete ninaye mfahamu mimi wa pale tarime sio wa kubeba umbea umbea kama huu,....ukija hapa next time mbane ucho no obho shadihi tatigha obhorongo
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Shida yake ajaze threads tu hapa hata kama ni kwa umbea na kudhalilisha jina hilo kubwa tarime,sijui kama ndio yeye mwenyewe au kavamia na jina
   
 7. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Nimecheka! Maana nimekumbuka na yale ya Mwl. mubishabisha obhorwaire ekiriro kiramuubura! Ila kweli watu waache kubeba urongo na kuuleta hapa, maana wengine watadhani uongo ule ndio ukweli.
   
Loading...