Jimbo la Sitta

Jimbo la Sitta

Utadhani umetoka ussoke wewe!!!! Yaani we acha tu

Vijana turudi tukalikomboe jimbo letu,wanyamwezi wanayo historia nzuri ya kumkaa Sita 1995,tuunganishe nguvu ya pamoja lazima ushindi upatikane,

Mzee wa ussoke[mwizukulu Mapolu],2012 naelekea kulikomboa jimbo.

MUNGU NINAYE MTUMIKIA AKIWA UPANDE WANGU NANI ATAKUWA KINYUME NA MIMI

Mama Sita tunakuheshimu,tumia busara ustaafu kwa heshima,kuliko kupata aibu ya kushindwa na vijana wenye umri kama wa wanao,[huu ni ushauri wa bure]
 
Kuna shule ya sekondari ukombozi nasikia ilikuwa chuo cha ualimu, Mzee Sitta akakibadili kuwa sekondari badala ya kujenga shule ingine. La ajabu, hata hiyo shule yenyewe kaitelekeza imechakaa haitamaniki, maeneo yake yanavamiwa na taasisi zingine kama CRDB bank na Magereza lakini yeye hajali. Ni majungu na fitina ndio anachojua huyu mzee.
 
Hii ni hatari sana Bwana BULOLE Nadhani tukomae na huyu mzee aondoke manake kila kitu kwake ni FITNA sasa sijui alichaguliwa ili iweje? Majungu ya kila aina ni yeye tu, kesi za watu wa Urambo anaziingilia anatishia mpaka mahakimu na anapolekewa jambo lolo na wapambe wake akina ANKO WA KULAMBWA basi inakuwa matatizo matupu atoke tu hatumtaki
 
Huo ni mwendelezo wa upuuzi katika wilaya ya Urambo. Wakazi wa wilaya hiyo wana tatizo kubwa la maji na miundo mbinu ya ovyo halafu madiwani wanakimbilia kununua GX-V8.
 
Back
Top Bottom