Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,241
- 1,472
Inatakiwa umuignore, amejaribu kujipendekeza kwangu nimempotezea hiyo ndiyo njia sahihi za kudeal na watu mazuzu kama huyu. hakuna adhabu kubwa duniani kwa mtu mjinga zaidi ya kumdharau.
- Ha! ha! ha! Classic, Beethhoven!
Willie @DSM City!
Huyu arudi kwenye Shipping Industry bado Connection ni nyingi za yeye kutengeneza pesa, lakini kamwe hana wito wa Kibunge ila hataki kusikia.Kumbe wanaoenda @ny city wakirudi wanachekacheka hovyo!
Kuna mengi ya kuhoji hapa!
Kweli ukipenda chongo huwezi kukatazwa ukakubali. Emu tupe Political CV yako ya hapa nchini! Kwa kukusaidia ile ya kugombea na kushindwa ubunge EAC usiiweke maana itashusha credit. Haya endelea.
wewe mtu wa ajabu sana tena uhoni ata haya kujianika hapa kwamba we ni mganga njaa...yani nusu upo ccm nusu upo cdm kwa maslahi gani??
Na usijifanye unaijua sana segerea wakati wakuja tu..
Kuna wanafki kama wewe wamefungua kiofisi chao pale magengeni kazi kutongozana tu na ku2ubilia ukombozi wa kaskazini si 2nawachora tu..
Segerea ina wenyewe msijishaue.
2ambie m2 mmoja unakadi mbili moja ya chadema moja ya ccm za nini kama sio unafiki,utapeli,usaliti na uganga njaa??alafu ukiitwa kibaraka unachukia,matusi kibao...sasa 2kuite jina gani mkuu??
Ila thanx kwa kuni-ignore,kikubwa ujumbe umefika na umeeleweka ndio maana naona feedback.
Kweli ukipenda chongo huwezi kukatazwa ukakubali. Emu tupe Political CV yako ya hapa nchini! Kwa kukusaidia ile ya kugombea na kushindwa ubunge EAC usiiweke maana itashusha credit. Haya endelea.
Na tukisema kwamba hiyo mialiko umepata kutokana na mgongo wa Baba yako tutakuwa tumekosea? Emu fikiria mwenyewe, James Ole Millya amekitumikia sana CCM kupitia UVCCM. Juzi kachukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea Ubunge wa EAC kakatwa jina, lakini wewe usiyekuwa na historia yoyote ndani ya CCM umekaa nje ya nchi maiaka 22 umeruka na ndege umekaa bongo miezi mitatu ukapita kwenye chekeche la Kamati Kuu mwenzako akachinjwa. Je tukisema ulibebwa tutakuwa tunakuonea?
La pili, wenzako hao hao kina Millya na wenyeviti wengi wa UVCCM na CCM ngazi za wilaya na Mikoa hawajawai kupata hiyo mialiko. Wewe ambae huna hata puparality record nchini unapata mialiko tena ya wahadhiri, je tukisema unabebwa na jina la Baba tutakuwa tunakuonea?
Mke wako tu umeshindwa kumuongoza hadi amekukimbia, utaweza kuongoza wakazi wa Segerea au Mtera?
Kumbe wanaoenda @ny city wakirudi wanachekacheka hovyo!
Kuna mengi ya kuhoji hapa!
naye aende na maji. kijana ana uchu huyo, we wiliy si ukamfute machozi mzee malecela kule mtela?Njoo ugombee, Mahanga atakwenda na maji uje wewe ugombee usimame na Mpendazoe
naye aende na maji. kijana ana uchu huyo, we wiliy si ukamfute machozi mzee malecela kule mtela?
- Great Thinker, unasema unataka kuiona Tanzania ambayo inakuwa na Viongozi wanaogombea kwa ajili ya kufuta machozi baba zao waliowahi kuwa Viongozi?
Es!
naona unatoa mapovu ulitegemea kutogozwa umechuniwa sasa unatoa mapovu surely uchaguz ataufanyke bila kampeni sisiem ampati.uzuri hadi ofice za sisiem tabta zinawafuasi wa chadema na awa ndio mtaji wetu
Willy unapochokoza mada kama hizi usikimbie kaa hapa tukufunde ili uwe na uwelewa wa kile unachotamani au kutaka kukifanya uwe na uhakika nacho.
CCM jimbo la Segerea sasa hivi iko vipande vipande wana siasa za makundi kuliko CCM ngazi ya Taifa tofauti tu ni kwamba wao hawapati coverage ya media.
Mkuu naona kwa sasa umeshazoea siasa za jf na unapambana kwa kila linalojitokeza. Nakupongeza kwa kua unatumia Id halisi. Keep it up mkuu.
Segerea hukumu ni tar 2 mei
Lissu tar 27 April kama sijakosea
Ya mnyika ni lini?
jamani ktkt hili wana segerea tunawaomba mtuachie wenyewe, Wile njoo upambane na kipenzi cha magamba anayeitwa Kess anatokea kata ya tabata mtambani na ww wiliy hilo shamba ulilo nalo lipo segerea ipi? sisi ndio tuna uchungu na segerea yetu jamani hatuitaji ushabiki ktk hili. mahanga kaiba kura mahakama ya kikwte tuombe itende haki kwenye hili. km wily unaona unaweza njo tukusioi sumari, njoo tuendelee kumuaibisha shetani. TUTAANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU
- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!
Es!