Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Umeambiwa utoe details we unakuja na ID nyingne ukisema una shamba na nyumba, hizo ndo details za jimbo?
Misifa itakuua mdogo wangu Willy a.k.a Le mutuz.

Umeona eheeeee! Utafikiri ulikuwa kichwani mwangu. Jamaa anapiga kona mwenyewe na kuwahi kwenda kupiga kichwa.
 
@ spencer na allien.

acheni kujidanganya.
Judi unaongea na wapiga kura wa segerea.
Anzia matumbi,tbt bima,mawenzi na Kimanga. Baracuda,MK bar,Kwa bibi na Seminari Mahanga Hakubariki!
Ugombolwa ndo hivyo Allieni anabana kinyerezi nako ni taiti.
Kisukuru nako niseme??????
Wewe tulia
 
- Nimesema na ninarudia, Mimi ni a Politician na pia a big Public Figure!

Willie @DSM City!

Kweli ukipenda chongo huwezi kukatazwa ukakubali. Emu tupe Political CV yako ya hapa nchini! Kwa kukusaidia ile ya kugombea na kushindwa ubunge EAC usiiweke maana itashusha credit. Haya endelea.
 

Balatanda,
Inatosha Jembe langu!
 
- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!


Es!

Phewww, recovery process

Unataka kuliwa pesa zako na majimboni sasa??:doh:
 

Tupia mawe mnazi basi uone shughuli yake

Pole kwa kuchunwa na kushindwa vibaya sana uchaguzi wa EALA, ni ishara tu kwamba hukubaliki zaidi ya humu JF
 
Judi unaongea na wapiga kura wa segerea.
Anzia matumbi,tbt bima,mawenzi na Kimanga. Baracuda,MK bar,Kwa bibi na Seminari Mahanga Hakubariki!
Ugombolwa ndo hivyo Allieni anabana kinyerezi nako ni taiti.
Kisukuru nako niseme??????
Wewe tulia

ivi utawaambia nini wana Segerea wakuelewe..stendi ya segerea mwisho,rami ya kimanga,kuna barabara inakuja kuanzia kimanga kwenda kisukuru,ki2o cha polisi shule usalama tele,shule za sekondari za kutosha...watu wanaongea ukweli kwenye mabox ya kula sio longolongo mnazopiga mtaani.

Ha ha ha niliskia ata Mzee Madiba kijicho eti nae anautaka ubunge na uzee wote ule..cdm kweli ni kichwa cha mwendawazimu.
 

Willy,
Yani kwenda UDSM umeona ni bonge la tukio! Lakini sishangai maana ndiyo madhara ya kufeli na kukosa admission pale. Alafu naona unajidai mara Oooh una Nyumba na shamba Segerea kwa hiyo you are Plan B ya CCM. Hivi unajua Kabwe Zuberi Zitto alishinda Ubunge Kigoma bila hata ya kuwa na Banda la Magrili? Kina Nassari, Mnyika, Kafulila, Silinde wote hawa wameshinda bila hata ya kuwa na shamba wala nyumba.

Tatizo lako umekariri vigezo vya siku nyingi vilivyopita na wakati. Uchelewi kusema umeoa na una watoto wawili kwa hiyo unafaa kuwa Mbunge! Lo! Mambo yamebadilika sana siku hizi. Hoja ya makazi na mke siyo hoja tena ya mtu kuchaguliwa kuwa mbunge.
 
Judi unaongea na wapiga kura wa segerea.
Anzia matumbi,tbt bima,mawenzi na Kimanga. Baracuda,MK bar,Kwa bibi na Seminari Mahanga Hakubariki!
Ugombolwa ndo hivyo Allieni anabana kinyerezi nako ni taiti.
Kisukuru nako niseme??????
Wewe tulia
Anatafuta bwana huyo achana naye, usipoteze muda wako kumjibu mtu ambaye akili zake half empty glass shake well before use.
 

Na tukisema kwamba hiyo mialiko umepata kutokana na mgongo wa Baba yako tutakuwa tumekosea? Emu fikiria mwenyewe, James Ole Millya amekitumikia sana CCM kupitia UVCCM. Juzi kachukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea Ubunge wa EAC kakatwa jina, lakini wewe usiyekuwa na historia yoyote ndani ya CCM umekaa nje ya nchi maiaka 22 umeruka na ndege umekaa bongo miezi mitatu ukapita kwenye chekeche la Kamati Kuu mwenzako akachinjwa. Je tukisema ulibebwa tutakuwa tunakuonea?

La pili, wenzako hao hao kina Millya na wenyeviti wengi wa UVCCM na CCM ngazi za wilaya na Mikoa hawajawai kupata hiyo mialiko. Wewe ambae huna hata puparality record nchini unapata mialiko tena ya wahadhiri, je tukisema unabebwa na jina la Baba tutakuwa tunakuonea?
 
Anatafuta bwana huyo achana naye, usipoteze muda wako kumjibu mtu ambaye akili zake half empty glass shake well before use.

aisee umepanic!!
Ila nimefurai kuona ujumbe wangu hapo juu umekufikia...yani dume zima unajisifia kuwa kibaraka nusu ccm nusu cdm...inshort wewe ni mganga njaa au bit** wa kisiasa.
 
- Kuachana na mke unless kama mimi wa kwanza Duniani, sawa lakini sioni ishu yoyote hapo zaidi tu ya kelele za mlango!

Willie @DSM City!

Mke wako tu umeshindwa kumuongoza hadi amekukimbia, utaweza kuongoza wakazi wa Segerea au Mtera?
 
Naona leo ni Matola na Balatanda dhidi ya @NYC. Sijamuona Waberoya. Hii inanikumbusha uzi fulani ambapo @NYC na Wabe walivyopambana hadi wakaishia kwenye Ban!

Mkuu Kimbunga,
Siku hizi Waberoya yupo kwenye ile group maarufu ijulikanayo kama Rejao & Co Ltd. So katika mijadala kama hii huwezi kuona hilo group likicoment chochote lakini subiri TUNTEMEKE alete thread yake ndiyo wanaibuka!
 
Mke wako tu umeshindwa kumuongoza hadi amekukimbia, utaweza kuongoza wakazi wa Segerea au Mtera?
Asikupotezee muda huyo jamaa, amekimbia child support US anadhani Bongo bado tunapiga kula kwa kuangalia majina ya watu, hana ubavu hata wa kufurukuta ndani ya mchakato wa CCM.
 

Mkuu Kimbunga,
Siku hizi Waberoya yupo kwenye ile group maarufu ijulikanayo kama Rejao & Co Ltd. So katika mijadala kama hii huwezi kuona hilo group likicoment chochote lakini subiri TUNTEMEKE alete thread yake ndiyo wanaibuka!
Waberoya comment zako zinahitajika hapa.
 
Last edited by a moderator:
Mahanga mwenyewe licha ya kuiba kura alishindwa na hatumtaki Segerea hata yeye anajua ndo maana hata Segerea huwa hakai na akija hutia timu midnite.

Spencer,
Tangu uchaguzi wa 2010 uishe Mahanga hajaonekana kabisa akipack ile gari ya serikali inayombeba yenye namba NW KAV pale Stand Kuu ya Segerea. Kabla ya uchaguzi wa 2010 ilikuwa kila siku asubuhi nikipita pale Stand lazima uikupe gari imepack inamsubiri. Sijui siku hizi ile gari inapack wapi! Laana ya wizi wa kura itamwandama sana.
 

Duh! Sophia Simba wapo wengi!
Inatakiwa umuignore, amejaribu kujipendekeza kwangu nimempotezea hiyo ndiyo njia sahihi za kudeal na watu mazuzu kama huyu. hakuna adhabu kubwa duniani kwa mtu mjinga zaidi ya kumdharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…