Jimbo la Njombe Kusini waikataa ccm

Jimbo la Njombe Kusini waikataa ccm

wana njombe kusin wengi wao niwacha mungu,{soma zakaria 5.1-14}maneno yaliyo wakimbiza wananjombe.
 
oooph! asavali wazidi kukataa bana,hii sisyemu ni hoi,hainifai tena!
 
watachota maji na gunia
Uzuri hata Kinana mwenyewe aliwaona wale wabena na kimsingi wanayo maendeleo ukilinganisha na sehemu zenye nyumba za tembe kama kwenye jimbo la Mwigulu nchemba.Watu wake maskini ana hangaika na Mbowe ambaye jimbo lake lina maendeleo makubwa
 
wananjombe wakataeni kama walivyo wakataa maeneo mengine ya nchi
 
Hata Deo Sanga almaarufu kama Jar people wa Njombe kaskazini inayojumuisha mji wa Makambako naye anahali mbaya.Ikumbukwe kwamba ndiyo mbunge pekee mjengoni aliye fika lapili tu.Kiswahili kusoma tabu kwahiyo kiingereza kwake kama kichina.Hali hiyo ndiyo inayo changia aonekane hafai.CCM ilimfanyia tu mpango wala hakushinda.Hata kibena hajui vizuri anjua zaidi Kikinga.na wabena wanapenda sana kuongea kibena hawataki anapo wacharazia kikinga.
 
Kura ni siri ya mtu, ila kusema hatuitaki ccm wengine ni kufuata mkumbo tu

Vijijini huko ccm wanawambia wanachi kuwa endapo huta ipigia kura ccm kuna mtambo umefungwa nandani ya chumba cha kura unakumulika hivyo ukipigia chama pinzani mtambo utakuona na unatunz kumbukumbu zako ambazo kupitia balozi wako watajua kuwa wewe uhukulpigia kula ccm,, nlicheka sana nlipo pata hii habari ,,,na kweli nikaamini mtaji wa maccm ni ujinga wa baathi y watanzania
 
Taarifa zaidi zina eleza kuhusu Deo Sanga wa Njombe Kaskazini kuwa hilo jimbo lilikuwa la Makweta.Na kabla hajawekwa kwenye kugombea,Makweta aliwaambia kwa kibena Mnatoa ng'ombe inayo lima ambayo imo kwenye mfereji na ina ujua mkisema imezeeka.Mnaingiza kwenye mfereji Ng'ombe ambayo imezeeka kuliko ya kwanza halafu mfereji haiujui mkidhani italima vizuri.akimaanisha walisema yeye amezeeka wakati Deo naye kazeeka na hana uzoefu
 
Wabena fukuzeni wote,kuanzia Makinda.Deo.gerson Lwenge.Maana tumechoka kudanganywa
 
mimi nitachangia mada hii baada ya uchaguzi wa mwaka 2015, siwaamini sana watanzania wenzangu, wengi ni vigeugeu
 
Taarifa zaidi zina eleza kuhusu Deo Sanga wa Njombe Kaskazini kuwa hilo jimbo lilikuwa la Makweta.Na kabla hajawekwa kwenye kugombea,Makweta aliwaambia kwa kibena Mnatoa ng'ombe inayo lima ambayo imo kwenye mfereji na ina ujua mkisema imezeeka.Mnaingiza kwenye mfereji Ng'ombe ambayo imezeeka kuliko ya kwanza halafu mfereji haiujui mkidhani italima vizuri.akimaanisha walisema yeye amezeeka wakati Deo naye kazeeka na hana uzoefu
Kwa Ubora Makweta alikuwa ni bora kuliko Deo ila tatizo ni kuwa alikaa muda mrefu watu walikuwa wamemchoka,atleast aliweza kuhamasiha ujenzi wa shule za wazazi kila tarafa chini ya NDDT ila Huyu Jah people sijui aliingia kwenye Ubunge kwa malengo gani
 
Back
Top Bottom