Jimbo la Njombe Kusini waikataa ccm

Jimbo la Njombe Kusini waikataa ccm

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
2,325
Reaction score
724
CCm ina zidi kupata wakati mgumu majimbo mbalimbali nchini likiwemo hili linalo ongozwa na spika Anne Makinda.viongozi wa ccm wanajaribu kuiokoa hali hiyo lakini bado mambo ni magumu muno!Ikumbukwe ni majuzi tu Katibu mkuu wa ccm mwenyewe alijionea hali hiyo alipo jaribu kwenda kubadili upepo lakini wale wa bena walimkatalia katakata kuhutubiwa.Kwa watu wanao fahamu tabia ya wabena nasikia ni wagumu muno kudanganywa.Kumbuka hata jaribio la kusomba watu watu jimbo la jirani la Deo Sanga kule Lupembe napo ilishindikana baada ya mafuso kukwama kutokana na mvua kubwa iliyo nyesha. Ali sikika mtu mmoja akisema tatizo wa bena wakiona unawadanganya hata ukiwasalimia Kamwene hawakuitikii.Mtu aliye karibu na siasa za Njombe anasema huenda ndiyo sababu Anne Makinda hataki kugombea tena.Aliongeza kusema afadhali kidogo Wahehe wanaweza kupokea hela ingawa nao kura hakupi.Lakini mbena akikukataa hata hela hawataki.Mama Makinda anawajua sana ndiyo maana hataki kurudia akihofu kuaibika
 
Taratiiibu watu wanajitambu na kutua mizigo.
 
Mbona mimi sijawahi kumsikia mama makinda akisema hatagombea tena?Au ndo nimepitwa na wakaki?Ila jana nilimsikia Godbless Lema alichokisema kwa waheshimiwa Medeye na Maghembe!
 
hilo lichama watu wengi hawalipendi ckuhizi, kazi nikuua wananchi wasio na hatia walianza na mabomu na sikuhizi wanatumia bastola
 
CCM IMEKATALIWA KILA MAHALI , imebaki yale maeneo ambayo SAHANI YA UBWABWA ni muhimu kuliko madawati , ni kule IRAMBA NA KONDOA TU .
 
Daaa ikitokea ivo kweli mabadiliko ya hali ya juu sana mana wabena nao kuna tym mmmm
 
Mama Makinda alisema kuwa hatogombea tena Ubunge kwani wananchi wanamwomba sana pesa kila kaienda jimboni, nadhani ni uamuzi mzuri apumzike na alinde hadhi yake au asije akawa anataka agombee uspika 2015, kama alivyofanya Pius Msekwa 2000.

Mbona mimi sijawahi kumsikia mama makinda akisema hatagombea tena?Au ndo nimepitwa na wakaki?Ila jana nilimsikia Godbless Lema alichokisema kwa waheshimiwa Medeye na Maghembe!
 
njombe ni wilaya peekee iliyopata umeme wakati wa mwl
kwa hiyo hatuna giza hutudanganyi
sisiem baibai
 
wabena hoyee! njombe hoyee! Tanganyika hoyeeee! Peopleeeeeeeeeees.........
 
Anna makinda ni kifurushi afadhali hata ya Mathayo mzigo kuliko huyu mama
 
CCm ina zidi kupata wakati mgumu majimbo mbalimbali nchini likiwemo hili linalo ongozwa na spika Anne Makinda.viongozi wa ccm wanajaribu kuiokoa hali hiyo lakini bado mambo ni magumu muno!Ikumbukwe ni majuzi tu Katibu mkuu wa ccm mwenyewe alijionea hali hiyo alipo jaribu kwenda kubadili upepo lakini wale wa bena walimkatalia katakata kuhutubiwa.Kwa watu wanao fahamu tabia ya wabena nasikia ni wagumu muno kudanganywa.Kumbuka hata jaribio la kusomba watu watu jimbo la jirani la Deo Sanga kule Lupembe napo ilishindikana baada ya mafuso kukwama kutokana na mvua kubwa iliyo nyesha. Ali sikika mtu mmoja akisema tatizo wa bena wakiona unawadanganya hata ukiwasalimia Kamwene hawakuitikii.Mtu aliye karibu na siasa za Njombe anasema huenda ndiyo sababu Anne Makinda hataki kugombea tena.Aliongeza kusema afadhali kidogo Wahehe wanaweza kupokea hela ingawa nao kura hakupi.Lakini mbena akikukataa hata hela hawataki.Mama Makinda anawajua sana ndiyo maana hataki kurudia akihofu kuaibika

1463281_582839551788696_213913354_n.jpg

Umeona hapa ni Njombe alikuwepo Kinana, Nape na Migiro alijaza nyomi uwanja huu
 
kuipigania ccm ni sawa na kumtukuza MWOVU SHETANI , KAMA UNAYO HOFU YA MUNGU JIEPUSHE NAYO .
 
Back
Top Bottom