Jimbo la Lowassa Monduli ni aibu tupu

Jimbo la Lowassa Monduli ni aibu tupu

Alinunua mmeru yule, mtu anadanganya hadi kabila, mtu wa kauli mbili mbili hafai hata kidogo kuwa raisi, shetani atatushangaa walahi.
 
12039243_1029792477041021_8566455748882549911_n.jpg

12074843_1029792533707682_4820079291103026370_n.jpg
fungukeni vijana. hawa mboe mtei ndosi et al wanawaingiza mkenge. hakuna mabadiliko hapo ila kukabidhi nchi kwa wapiga dili kwa kura zenu.
 
Semeni yote mmalize Lowassa rais wetu... Tunampenda tunamwamini na tumeamua mabadikiko ni lazima...period
 
nyie mabwege ndo mnaeneza ukabila sisi kabila lake halituhusu, as long as ni mtz, kura atapata, over
 
Back
Top Bottom