Jimbo la Lowassa Monduli ni aibu tupu

Jimbo la Lowassa Monduli ni aibu tupu

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12039243_1029792477041021_8566455748882549911_n.jpg

12074843_1029792533707682_4820079291103026370_n.jpg
 
Sasa huo ndio ukweli na hali ilivyo lakini hamtaki kuusikia. Mi bado nasubiri kuona hayo mabadiliko lakini si sasa
 
Mzee akili yake mbovu sana, hata walinzi wote wa bongo ni wamasai kwa maana ya hali mbaya ya kiuchumi, ni akili mbovu mbovu kumwamini mtu kama huyo!
Huyu mzee amekwisha habari yake. Yaani amechanganyikiwa ile mbaya, alafu jamaa hapo juu bampami ni mbeba viroba.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa.......

Wenzake wanakunywa mkojo wa punda...
 
Ndio mageuzi anata kuyaleta Tanzania.

Kuna maji huyu mzee aliyachukua wilayini Arumeru , akayasambaze pipeline monduli kwanza ndo arudi tumfikirie....

Kama wenzake wanakinywa hizo simu....si ndo atakuja kutuletea dhaama
 
Amesema akiingia madarakani ataondoa nyumba za nyasi kwacku 45 tu ...huko monduli nyumba zabati kumi hazifiki katawalla miaka zaid ya ishirini huu si ni upumbavu jamani
 
Back
Top Bottom