ally faraji
Member
- Apr 19, 2013
- 5
- 5
Kwa kuanzia kuipandisha hadi barabara hiyo,hizi barabara za jimbo la Segerea zinafanya hata mtu unashindwa kuwa na gari zuri au safi, kipindi cha ukame ni vumbi na kipindi cha mvua ni matope achilia mbali ubovu uliokithiri. mfano barabara ya Migombani kwenda Segerea yani ni mbovu hadi aibu.

mama anaupiga mwingi! kwa usaidizi wa makonda na mwigulu!hizi barabara za jimbo la Segerea zinafanya hata mtu unashindwa kuwa na gari zuri au safi, kipindi cha ukame ni vumbi na kipindi cha mvua ni matope achilia mbali ubovu uliokithiri. mfano barabara ya Migombani kwenda Segerea yani ni mbovu hadi aibu.