Jimbo la Lowassa Monduli ni aibu tupu

Jimbo la Lowassa Monduli ni aibu tupu

Kaeni hivyohivyo wapumbavu nyie kama kashindwa kwake kapaboresheni nyie
 
Mbona ndugu zake ndo wanaotembea uchi mjini hata kazi hawana angewanunulia japo jeanz zamitumba basi sikuwaacha wanatembea hovyo nakunuka mikojo kwenye maget yawatu mjini hapa
 
Hata mseme nini mabadiliko yapo pale pale
12112412_1034194576600811_1470262735551613531_n.jpg
 
Si afadhali hata Lowas kuiko Lukuvi hapa Ismani hakuna lolote la kujivunia
 
Kuna vitu mnachanganya jaman kuna kitu kinaitwa asili!? kwahiyo unataka kutuambia hata masai wanaovaa mashuka mjini ni umasikini ndio una sababisha hayo!? au Lowassa hakuwapa maendeleo mpaka kushindwa kununua mavazi!? jipange VIVA UKAWA!!!?
 
Wanasema waafrika wengi zamani ndio yulikia matajiri kwasababu kila familia ulikua ukienda ulikua haukosi ng'ombe na kwasasa huo utajiri wamebaki nao wamasai na wasukuma ila sema hawa watu tatizo lao moja hawana elimu.
Na ndio maana lowasa akasema kipaumbele chake ni elimu na atatoa elimu bure ili kuwakomboa hawa bwana kifkra na watanzania Wote kwa ujumla.
 
Anataka watanzania masikini tuwe walinzi kwenye majumba yake na mafisadi wenzake huyu -----
 
Familia hiyo hiyo ina n'gombe kama buku hivi, na hizo nyumba zipo hivyo bz muda wowote wao wanahama kutafuta malisho.
 
kunywa mkojo was ng'ombe 1au 1000,ni absolute poverty, over
 
Back
Top Bottom