Wakongomani tuache moise katumbi ogombee urais

Wakongomani tuache moise katumbi ogombee urais

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Mimi nilikuwa miongoni mwa watu ambao walikuwa wanampinga huyu bwana asigombee urais wakongo kisa sio mkongomani wa baba na mama na ninafikiri hii ndo kauli ya wakongomani wengi kwasasa kusema candidat ya moise katumbi ikataliwe na ceni kisa sio mkongomani halisi

Lakini kuna kitu tayari nimekiona mimi na sijui kama wengine wanakiona hivi

Hivi kwanini viongozi wote wenye asili ya katanga ambao wanafanya kazi na serekali kuu wanajiuzulu?

Kwanini siku hizi wakatange wote wanakauli ya kusema katanga ni yetu

Kwanini wakatange wanafukuza wakasai ndani ya katanga

Kwanini viongozi wote wenye asili ya katanga wameungana kumsapoti moise katumbi

Hapa kuna bomu tayari lipo tofauti na uchaguzi hawa watu wanataka kujitenga na Kongo
Ndo maana na sema ni bora tumuache ugombee lakini tusimchague

Mnajau katanga akijitenga na Kongo tutakuwa tumepoteza pakubwa saana
 
Mtaibiwa rasilimali mpaka pale mtakapo mpa nchi Chapwe El Katumbi.
 
Back
Top Bottom