mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,969
CCM tumewachoka
Mmetengeneza jimbo jipyala Chato kusini kwa lengo la ajabu sana.
Iko hivi,kuna mgombea mmoja tajiri wa madini ya dhaabu Pascal Lutandura ambaye aliishia darasa la 4 B lakini ana pesa za kutosha ameandaliwa jimbo hilo.
Bwana Lutandula ni mjumbe wa NEC taifa,ana network na pesa za kutoshaila hawezi hata kusoma sentensimojakwenye kitabu cha Hawa the bus driver.au Mabala the farmer.
Mbunge kama huyu atawasaidia nini wana Chato Kusini?