'Jimbo' gumu kwa CCM

'Jimbo' gumu kwa CCM

unajua maana ya mwanazuoni? wale ni wanafunzi siyo wanazuoni. kwa bahati mbaya viroba vimezagaa mlimani. hata hivyo sikubaliani na ww. nimesoma pale na nimehudhuria makombano mengi baada ya chuo. mfano mfupi ni jinsi nnchimbi alivyo funika juzi

Nafikiri wakati una malizia kuandika hiyo sentensi ya mwisho, umecheka mwenyewe....
 
Mkuu, hivi hujajua kuwa kwenye midahalo hiyo CHADEMA huandaa vijana wa kuzomea ili ionekane kuwa hoja za viongozi wa ccm ni dhaifu? Binafsi siamini kuwa chadema ndo huja na hoja nzuri zaidi. Halafu tabia za kuzomea si miongoni mwa sifa za wasomi. Kwa kawaida mru aliyepevuka kiakili husikiliza kila hoja kwa umakini na kuifanyia uchambuzi. We fuatilia tu kwenye midahalo hiyo. Wanafunzi wanaozomea mara zote hawaombi hata nafasi ya kuchangia

Hivi Cdm ilikuwepo enzi ya mwinyi?
 
We ndugu Hapa umejigonga mchana kweupe!!!! Ulichokisema si kweli, ni uongo!!!!! Duh!!! Ipo kazi!!!!!!
 
Popote penye ufahamu,Ccm hujitenga!! Mf miji yote yenye watu walioelimika ni maadui wa ccm,wilaya zote zilizobahatika kuelimika ni maadui wa ccm,vyuo vikuu vyote na taasisi za elimu yajuu kote huko ccm ni adui!!! Ccm ina uhusiano mkubwa na UJINGA,sehemu pekee ambazo ccm wamezishika ni zile zilizotopea kwenye ujinga,find your own equation.
Duh!!! Nadhani hii iwe ndio kaulimbiu ya mwaka!!!
 
Mimi nikiwaona CCM na minguo yao mwili unasisimka, naona kama tayari wanataka kuning'oa kucha...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mimi nikiwaona machadema damu ya mwili wangu inasisimka, naona kama tayari wanataka kunimwagia tindikali
 
Naogopa kuwakaribia machadema kwa sababu watanimwagia tindikali, wakiona nawastukia watanilisha sumu
 
Disco wangapi kwa sasa. ukijijibu utaelewa hapo ni pumba tupu
[FONT=courier
new] Kuanzia kuwepo kwa vituo vya
luninga vinavyorusha midahalo kutoka mahali hapa,sikuwahi kuona CCM na
Serikali yake ikishinda kwa hoja. Nimekuwa nje ya Chuo Kikuu hiki
kabla,baadaye nikawa mwanafunzi wa Chuo husika na baadaye
kuhitimu.
[/FONT]

Lakini,sikuwahi kuona CCM wala Serikali yake ikishangiliwa hapa,hasa
katika mijadala ya kihoja hasa. Hapa sizungumzii hotuba za viongozi wa
CCM na Serikali yake wanapokuja kuwakaribisha viongozi wenzao wa nje
wanaokuja na kuhutubu katika 'jimbo' hili.

Ni
Ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Mara nyingi,hasa
kwenye midahalo,CCM na Serikali yake wamekuwa wakizomewa,kunyooshewa
vidole na hata 'kushambuliwa'. Nimesimuliwa juu yakutupiwa machungwa
mabovu kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi katika miaka ya
80.

Nikashuhudia,nikiwa tayari si mwanafunzi tena ,Rais Kikwete ‘akizomewa’
na kuoneshwa mabango akiwa na Rais Yoweri Museveni waUganda hapo hapo
Nkrumah. Kiukweli, mahali hapa hapavutii kwa CCM na Serikaliyake.

[FONT=comic sans
ms]Kiongozi yeyote wa CCM na Serikali
yake hujifikiria mara mbili mbili anapotakiwa kuhutubu Nkrumah. Wakati
mwingine hulazimika kuunga mkono hoja zisizo za kiserikali ili abaki
salama. Kama wanazuoni hawa wanaowanyima raha viongozi wa CCM na
Serikali yake wangetawanyika na kufanya ya Nkrumah mahali pengine
,nchi hii ingekuwa mba
li sana. Lakini,
w
anazuoni hawa sijui hupotelea
wapi?![/FONT]
 
unajua maana ya mwanazuoni? wale ni wanafunzi siyo wanazuoni. kwa bahati mbaya viroba vimezagaa mlimani. hata hivyo sikubaliani na ww. nimesoma pale na nimehudhuria makombano mengi baada ya chuo. mfano mfupi ni jinsi nnchimbi alivyo funika juzi

Kwa hiyo wanazuoni hawakuwepo ni wanafunzi pekee? Nchimbi alifunika kwa lipi, pambana na uhalifu kwa vitendo na siokwa kutumia vya habari. Nchimbi ni majanga tu kama walivyo mabosi wake na chama chake cha wauza unga "Drag Dealers"
 
Popote penye ufahamu,Ccm hujitenga!! Mf miji yote yenye watu walioelimika ni maadui wa ccm,wilaya zote zilizobahatika kuelimika ni maadui wa ccm,vyuo vikuu vyote na taasisi za elimu yajuu kote huko ccm ni adui!!! Ccm ina uhusiano mkubwa na UJINGA,sehemu pekee ambazo ccm wamezishika ni zile zilizotopea kwenye ujinga,find your own equation.

uko sahihi mkuu. huyo jamaa anaujua ukweli japo anajitoa faham
 
Mkuu, hivi hujajua kuwa kwenye midahalo hiyo CHADEMA huandaa vijana wa kuzomea ili ionekane kuwa hoja za viongozi wa ccm ni dhaifu? Binafsi siamini kuwa chadema ndo huja na hoja nzuri zaidi. Halafu tabia za kuzomea si miongoni mwa sifa za wasomi. Kwa kawaida mru aliyepevuka kiakili husikiliza kila hoja kwa umakini na kuifanyia uchambuzi. We fuatilia tu kwenye midahalo hiyo. Wanafunzi wanaozomea mara zote hawaombi hata nafasi ya kuchangia

bwana,usidhani watu ni wajinga kiasi hicho,ccm inapendwa na wajinga 2 kama akina lumumba boys
 
Chama cha wamwagia watu tindikali

kutoka chama cha mapinduzi baadaye chukua chako mapema baadaye chama cha mafisadi tena ccmafic na sasa chama cha maunga sijui tuendako....!
 
Mkuu, hivi hujajua kuwa kwenye midahalo hiyo CHADEMA huandaa vijana wa kuzomea ili ionekane kuwa hoja za viongozi wa ccm ni dhaifu? Binafsi siamini kuwa chadema ndo huja na hoja nzuri zaidi. Halafu tabia za kuzomea si miongoni mwa sifa za wasomi. Kwa kawaida mru aliyepevuka kiakili husikiliza kila hoja kwa umakini na kuifanyia uchambuzi. We fuatilia tu kwenye midahalo hiyo. Wanafunzi wanaozomea mara zote hawaombi hata nafasi ya kuchangia

hivi chadema ilikuwepo tangu miaka ya 80, uwe unasoma siyo kukurupuka tu imradi ukapate buky 7 hatakama hujatumia akili kujibu hoja..
 
Mkuu, hivi hujajua kuwa kwenye midahalo hiyo CHADEMA huandaa vijana wa kuzomea ili ionekane kuwa hoja za viongozi wa ccm ni dhaifu? Binafsi siamini kuwa chadema ndo huja na hoja nzuri zaidi. Halafu tabia za kuzomea si miongoni mwa sifa za wasomi. Kwa kawaida mru aliyepevuka kiakili husikiliza kila hoja kwa umakini na kuifanyia uchambuzi. We fuatilia tu kwenye midahalo hiyo. Wanafunzi wanaozomea mara zote hawaombi hata nafasi ya kuchangia

Tatizo lenu kuu, kila mnaposhindwa mahali huwa mnatafuta namna ya kuilaumu CHADEMA. Umefuatilia hoja za hao wanaozomewa ama umebuni tu hiyo sababu. Binafsi nilishashuhudia Waziri Mkuu mtsaafu Sumaye akisema kuwa vijana tusome (enzi hizo) kwani ajira zitakuwa nyingi maana watu wengi wanakufa na UKIMWI. Maneno hayo aliyasema alipotembelea chuo kikuu na kuongea na wanajumuiya wa chuo. Sasa kwa hali hii wasio wavumilivu na kauli kama hizi wataacha kuguna ama kuzomea?
 
Mkuu, hakuna msomi mwenye tabia za kushangilia na kuzomea. Akili hizo ni za bavicha ambako kumejaa vilaza
Kuna kilaza zaidi yako hapa jamvini kweli? Hemb ngoja nitazame vizuri! Du! Kumi bora zote zimeenda kwa buku 7 team. Mnatisha wakuu kwa kutetea uozo
 
Kwa hiyo wanazuoni hawakuwepo ni wanafunzi pekee? Nchimbi alifunika kwa lipi, pambana na uhalifu kwa vitendo na siokwa kutumia vya habari. Nchimbi ni majanga tu kama walivyo mabosi wake na chama chake cha wauza unga "Drag Dealers"

tumia akili dogo na punguza kuwaza kibavicha. uzi ulisema kuwa wanazuoni huzomea na kushika mambango kuwakebehi viongozi. nimesahihisha kuwa hao hawaitwi wanazuoni. wanaitwa wanafunzi. umesema nchimbi ni majangu...... mimi na focus kwenye mdahalo wa juzi. alifunikwa na kushangiliwa..... hilo jimbo gumu nashangaa kuona linashangilia!
 
Mkuu, hakuna msomi mwenye tabia za kushangilia na kuzomea. Akili hizo ni za bavicha ambako kumejaa vilaza

Duh!...hivi umakinina weledi wa ccm na taasisi zake unawezaje kuulinganisha na bavicha?...hebu waulize watanzania watakusaidia kujibu.
sote tunajua na tunaona jinsi jk na wabia wake kina mwigulu,nape na lusinde wanavyoonekana ktk jamii. ccm iko vipande vipande hawana hoja makini na ni aibu kwa taifa.
 
Back
Top Bottom