Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,460
- 13,823
Acha uzezeta! Wanayoyaongea na hoja zao dhaifu ndiyo sababu kwanini wanazomewa!
Mkuu, hivi hujajua kuwa kwenye midahalo hiyo CHADEMA huandaa vijana wa kuzomea ili ionekane kuwa hoja za viongozi wa ccm ni dhaifu? Binafsi siamini kuwa chadema ndo huja na hoja nzuri zaidi. Halafu tabia za kuzomea si miongoni mwa sifa za wasomi. Kwa kawaida mru aliyepevuka kiakili husikiliza kila hoja kwa umakini na kuifanyia uchambuzi. We fuatilia tu kwenye midahalo hiyo. Wanafunzi wanaozomea mara zote hawaombi hata nafasi ya kuchangia