Chumvi yao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,581
- 5,562
Pale unaniita kafil haafu unaniomba msaada WA kufuturu........hakika wewe ndiyo kafiri na najis kabisa
Waislam japo sio wote ni watu wasiojiamini hasa katika Dini Yao! Kuna mamia ya Waislam wanakua wakristo Kila siku wengine tunawaoa lakini huwezi ona wakristo wakitamba eti Muislam kabadili Dini! Wasabato wanaongoza kuwa na idadi kubwa ya Waislam waliobadili Dini na kua wakristo lakini huoni kelele!Pamoja na propaganda za watu wa magharibi bado watu wanasilimu.
Wenzetu huwa wanatuwekea takwimu. We unaleta porojo la maneno matupu.Waislam japo sio wote ni watu wasiojiamini hasa katika Dini Yao! Kuna mamia ya Waislam wanakua wakristo Kila siku wengine tunawaoa lakini huwezi ona wakristo wakitamba eti Muislam kabadili Dini! Wasabato wanaongoza kuwa na idadi kubwa ya Waislam waliobadili Dini na kua wakristo lakini huoni kelele!
Inferiority complex inawasumbua wasemehe bure waombee neema ya Bwana Yesu kristo waweze kurejea kundini mwake.Waislam japo sio wote ni watu wasiojiamini hasa katika Dini Yao! Kuna mamia ya Waislam wanakua wakristo Kila siku wengine tunawaoa lakini huwezi ona wakristo wakitamba eti Muislam kabadili Dini! Wasabato wanaongoza kuwa na idadi kubwa ya Waislam waliobadili Dini na kua wakristo lakini huoni kelele!
Wenzetu huwa wanatuwekea takwimu. We unaleta porojo la maneno matupu.
Hiyo Tanzania takwimu umezitoa wapi kwa 2022? Naona unafanya vitu kimihemko. Mi nimekuwekea data we unaleta 'assumption'.Hivi ingekua wanabadilisha Dini Kwa kasi hiyo Tangu Miaka Hiyo Huoni nusu ya Ulaya na Marekani Sasa ingekua ni Waislam tupu? Tambua Uislam ukikua vilevile na Ukristo unakua pia vilevile.
Hizi ni Takwimu za Waislam katika Nchi ulizozitaja Kulingana na World Population Review! Kwa Mwaka 2022.
Tanzania - 19,426,814 Kati ya Watu 63,298,550
America - 3,450,000 kati ya watu 334,805,269
United Kingdom -4,130,000 Kati ya Watu 68,497,907
Italy - 2,987,840 kati ya Watu 60,262,770
Belgium- 879,377 Kati ya Watu 11,668,278
Netherlands - 880,000 Kati ya Watu 17,211,447
Australia - 650,000 Kati ya Watu 26,068,792
Greece -613,406 Kati ya Watu 10,316,637
Russia - 20,000,000 Kati ya Watu 145,805,947
France - 5,720,000 Kati ya Watu 65,584,518
German - 4,750,000 Kati ya Watu 83,883,596
Si unajua waislam kusema uongo ni kawaidaNimegundua habari hii ni ya uongo baada ya kumfatilia jimmy ike mitandao yake yote [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu mwandishi kajitungia tu
Hawa jamaa kwa kutunga ni nouma walishasemaga messi na ronaldo ni waislam.Acheni kutunga habari zako jana kapost thank you Jesus kwenye kurasa yake moja na ukiingia insta hakuna kitu kama hicho [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji3] yaani umeamua kumtungia mtu wa watu kwa habari za uongo[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo Tanzania takwimu umezitoa wapi kwa 2022? Naona unafanya vitu kimihemko. Mi nimekuwekea data we unaleta 'assumption'.[/QUO
"Muslim Population by Country 2022" Muslim Population by Country 2022
Usiwe unaropoka vitu. Ongea kutumia akili. Hiyo takwimu unazichukua kwa mtindo gani kujua huyu dini gani bila kupata ushirikiano kutoka kwenye serikali husika? Usiwe unaleta porojo kijana.Wewe umeleta Takwimu au Habari? Kwa taarifa Yako Kuna mashirika Duniani Huwa yanakusanya Hizi Taarifa hasa Yale ya kimataifa! Unafkiri wanatoa wapi takwimu za Mataifa yenye Furaha Duniani? Au Taarifa za Idadi ya Wanyama au ndege wa aina Fulani! Au kama ile ripoti ya Pandora iliyofichua Mali za Viongozi zilizofichwa Ughaibuni? Hii sensa tunayofanya tunafanya kwasababu ni Utaratibu wa Kikatiba lakini Kuna mashirika yanatakwimu Kbsa ya Idadi iliyopo!
Nadhani unafahamu data zinavyokusanywa. Hauwezi ukakusanya taarifa za nchi nzima bila kushirikishwa wahusika. Au mwenzetu unaweza kumuangalia kila mtu ukajua imani yake?Link Hii hapa!! Hatuna haja ya Kubishana
"Muslim Population by Country 2022" Muslim Population by Country 2022