Jim Ike atangaza rasmi kusilimu

Jim Ike atangaza rasmi kusilimu

Luka 4:16 "Basi yesu alikwenda Nazaretu,malali alipolelewa,na siku ya sabato,aliingia katika sunagogi kama ilivyokua desturi yake.Akasimama Ili asome maandiko matakatifu kwa sauti"
N.B Sunagogi ni misikiti ya wayahudi,angalia kamusi yake nyuma ya biblia.
(Soma Aya hii kisha nipe jibu kama utapendezwa)
Misikiti ya Wayahudi!sio ya waislam.
 
Uislam Ni Ukristo Mambo leo...Uislam imetokea miaka Mia tano baada ya Kristo,Cha kushangaza Uislamu unaelezea visa vilivyokwisha elezwa na Ukristo Kama habari ya Yesu wakaita Isa,habari ya Yona wakaita Yunus,habari Ibrahim,habari ya ayub yaani walichofanya Ni ku Update tu,na kudai vilitokea kwenye jamii ya kiislamu,wakati matukio hayo yalitokea wayback...
Acha kutoa maoni yako soma Luka 4:16 biblia imejibu hichi unachokiingelea hapa.
 
Acha kutoa maoni yako soma Luka 4:16 biblia imejibu hichi unachokiingelea hapa.
Yesu alivyokuwepo Uislam ulikuwa hata haujulikani Kama itakuja kutokea....500sAD ndio Uislamu unakuja ibuka...ndio maana mnaanza kuelezewa habari zilizokwisha tokea miaka hiyoooo
 
Luka 4:16 "Basi yesu alikwenda Nazaretu,malali alipolelewa,na siku ya sabato,aliingia katika sunagogi kama ilivyokua desturi yake.Akasimama Ili asome maandiko matakatifu kwa sauti"
N.B Sunagogi ni misikiti ya wayahudi,angalia kamusi yake nyuma ya biblia.
(Soma Aya hii kisha nipe jibu kama utapendezwa)
Alafu akafanyaje ? Usiishie katikatinusome.mpaka mwisho
 
Dini inayohubiri mambo ya ngono,eti ukijilipua ukafa utakuta mabikra 72 Mungu kakuandalia.Mungu gani anaeandalia watu wa kufanya nao ngono huko mbinguni?
Mambo ya kipuuzi kabisa haya
Yaani hii dini inachekesha sana eti mbinguni kuna mabinti wa kukupa Raha pindi ukifa ni dini ya ajabu kweli hata aibu hawana kabisa
 
Back
Top Bottom