Jim Ike atangaza rasmi kusilimu

Jim Ike atangaza rasmi kusilimu

Ameiacha kweli ambayo inamuweka huru, ameacha NURU na kuiendea GIZA.

YESU ni njia ya kweli na uzima.
Wanaosema wanahamia kwa maustaadh tu,mbona nae kahama..wewe muimba mapambio endelea kubwabwaja uungu wa yesu
 
#MaaShaAllah

Muigizajaji Wa Nollywood NCHINI NIGERIA Aitwaye Jim Ike Atangaza Ramsi Kuachana Na Dini yake ya UKRISTO na KUSILIMU na Kuwa Muislamu, Amefanya Uamuzi huu Baada Ya Kusoma VITABU Kwa Kina Na Kubaina Mambo ambayo ni kinyume na UKRISTO..

Usiogope KUFUATA Haki Ilipo, Usiogope Familia au JAMII, Tambua Siku ukiwekwa Kaburini Hakuna Ndugu takae kuja Kukaa na wewe Kaburini, Wala hakuna Rafiki Atakae kutetea Siku umesimamishwa kwenye Mahakama ya Mwenyezi Mungu. Kila Mtu ataitetea Nafsi yake na moto (QURAN 66-6)

Fuata Haki Kwa Ajili ya Allah jalallah. Usiogope Familia au JAMII itakutenga KISA Umekuwa Muislamu, Bora Utengwe na Familia na JAMII lakini Usitengwe na Mwenyezi Mungu.

Ukitengwa na Mungu Maana yake Utakuwa mbali na Rehma zake.

Acha kukaririshwa Chuki Katika Nafsi Kuhusu UISLAMU. TAFUTA VITABU soma mwenyewe.

WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU

KARIBU KATIKA UISLAMU
Anataka kuongeza mke tu wa kuoa huyo anatafuta justification, na pombe wanaendeleaga kunywa.
 
#MaaShaAllah

Muigizajaji Wa Nollywood NCHINI NIGERIA Aitwaye Jim Ike Atangaza Ramsi Kuachana Na Dini yake ya UKRISTO na KUSILIMU na Kuwa Muislamu, Amefanya Uamuzi huu Baada Ya Kusoma VITABU Kwa Kina Na Kubaina Mambo ambayo ni kinyume na UKRISTO..

Usiogope KUFUATA Haki Ilipo, Usiogope Familia au JAMII, Tambua Siku ukiwekwa Kaburini Hakuna Ndugu takae kuja Kukaa na wewe Kaburini, Wala hakuna Rafiki Atakae kutetea Siku umesimamishwa kwenye Mahakama ya Mwenyezi Mungu. Kila Mtu ataitetea Nafsi yake na moto (QURAN 66-6)

Fuata Haki Kwa Ajili ya Allah jalallah. Usiogope Familia au JAMII itakutenga KISA Umekuwa Muislamu, Bora Utengwe na Familia na JAMII lakini Usitengwe na Mwenyezi Mungu.

Ukitengwa na Mungu Maana yake Utakuwa mbali na Rehma zake.

Acha kukaririshwa Chuki Katika Nafsi Kuhusu UISLAMU. TAFUTA VITABU soma mwenyewe.

WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU

KARIBU KATIKA UISLAMU
Sasa akisha silimu ndio anakuwaje?,mara paap !anakuwa Eron Musk wa Afrika?Bill gate,Dangote au Bakheresa?!!!
It's none issue,ni Sawa na mtu "straight"kuamua kuwa Gay!!no body cares!his/her dicision is every thing but something to care for
 
Pale unaniita kafil haafu unaniomba msaada WA kufuturu........hakika wewe ndiyo kafiri na najis kabisa
Neno kafiri tunalipa maana mbaya tu ila hata muislamu ni kafiri kwa ukristo kwa maana anaupinga ukristo, kwahiyo mkuu muislamu akikwita kafiri kisa umeupinga uislamu usikasirike.
 
Waislam japo sio wote ni watu wasiojiamini hasa katika Dini Yao! Kuna mamia ya Waislam wanakua wakristo Kila siku wengine tunawaoa lakini huwezi ona wakristo wakitamba eti Muislam kabadili Dini! Wasabato wanaongoza kuwa na idadi kubwa ya Waislam waliobadili Dini na kua wakristo lakini huoni kelele!
Pengine inatokana na jinsi uislamu unavyochukuliwa duniani kwamba ni kundi la magaidi na watu wa hovyo hovyo tu, sasa kwa mazingira kama hayo inapotokea mtu kuacha imani yake na kufuata dini yenye kutizamwa kuwa ni ugadi, basi ndio maana pengine huonekana kuwa ni jambo kubwa.
 
Hahahahaha mjizu123 now nimeelewa mlengo wako ..maana nilisoma UZI wako ule unao sema Yakobo alipigana na Mungu..sasa ni dhahiri ww jamaa ni primitive sanaa.

Ata uislamu ni hovyo sanaa, inakuwaje ww umuue mtu asiye muislamu ndio upate kumuona M/Mungu ? Hawa jihadist ..wanao taka kwenda kula maisha na makuraishi wenye chuchu kali ..😆😆😆 ina maana hata hata huko juu utaenda fanya zinaa tu
 
Ukiwa ufuasi wa bwana mudi lazima ukubali kuziweka akili pembeni. Na mbingu yenu ya kulewa na kudinyana
 
#MaaShaAllah

Muigizajaji Wa Nollywood NCHINI NIGERIA Aitwaye Jim Ike Atangaza Ramsi Kuachana Na Dini yake ya UKRISTO na KUSILIMU na Kuwa Muislamu, Amefanya Uamuzi huu Baada Ya Kusoma VITABU Kwa Kina Na Kubaina Mambo ambayo ni kinyume na UKRISTO..

Usiogope KUFUATA Haki Ilipo, Usiogope Familia au JAMII, Tambua Siku ukiwekwa Kaburini Hakuna Ndugu takae kuja Kukaa na wewe Kaburini, Wala hakuna Rafiki Atakae kutetea Siku umesimamishwa kwenye Mahakama ya Mwenyezi Mungu. Kila Mtu ataitetea Nafsi yake na moto (QURAN 66-6)

Fuata Haki Kwa Ajili ya Allah jalallah. Usiogope Familia au JAMII itakutenga KISA Umekuwa Muislamu, Bora Utengwe na Familia na JAMII lakini Usitengwe na Mwenyezi Mungu.

Ukitengwa na Mungu Maana yake Utakuwa mbali na Rehma zake.

Acha kukaririshwa Chuki Katika Nafsi Kuhusu UISLAMU. TAFUTA VITABU soma mwenyewe.

WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU

KARIBU KATIKA UISLAMU
Ni Mnigeria, yanatuhusu nini sisi haya? Just think about it, the guy is from Nigeria, hana faida yeyote kwako wala sisi ya nini unaanzisha uzi kwa ajili ya mtu asiye na umuhimu kwetu? Wewe dogo inabidi ushitakiwe tu, unaishi wapi?
 
Hahahahaha mjizu123 now nimeelewa mlengo wako ..maana nilisoma UZI wako ule unao sema Yakobo alipigana na Mungu..sasa ni dhahiri ww jamaa ni primitive sanaa.

Ata uislamu ni hovyo sanaa, inakuwaje ww umuue mtu asiye muislamu ndio upate kumuona M/Mungu ? Hawa jihadist ..wanao taka kwenda kula maisha na makuraishi wenye chuchu kali .. ina maana hata hata huko juu utaenda fanya zinaa tu
Yesu pia alikua hovyo?
 
#MaaShaAllah

Muigizajaji Wa Nollywood NCHINI NIGERIA Aitwaye Jim Ike Atangaza Ramsi Kuachana Na Dini yake ya UKRISTO na KUSILIMU na Kuwa Muislamu, Amefanya Uamuzi huu Baada Ya Kusoma VITABU Kwa Kina Na Kubaina Mambo ambayo ni kinyume na UKRISTO..

Usiogope KUFUATA Haki Ilipo, Usiogope Familia au JAMII, Tambua Siku ukiwekwa Kaburini Hakuna Ndugu takae kuja Kukaa na wewe Kaburini, Wala hakuna Rafiki Atakae kutetea Siku umesimamishwa kwenye Mahakama ya Mwenyezi Mungu. Kila Mtu ataitetea Nafsi yake na moto (QURAN 66-6)

Fuata Haki Kwa Ajili ya Allah jalallah. Usiogope Familia au JAMII itakutenga KISA Umekuwa Muislamu, Bora Utengwe na Familia na JAMII lakini Usitengwe na Mwenyezi Mungu.

Ukitengwa na Mungu Maana yake Utakuwa mbali na Rehma zake.

Acha kukaririshwa Chuki Katika Nafsi Kuhusu UISLAMU. TAFUTA VITABU soma mwenyewe.

WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU

KARIBU KATIKA UISLAMU
Unaposema kuifuata haki ilipo, sijui kaburini atakua peke yake inamaana kwenye ukristo automatically kuna dhambi??
Hivi hii tabia ya kuona kwamba dini flani ni wakosefu kuliko wengine itaisha lini?

Mbona wenzetu ni kama mnakaririshwa kwamba sisi hatuwapendi??

Mi kila siku huwa nauliza. Hivi kumsomea mtu Al Badir awe kichaa kisa kakuibia kuku ni haki? Il hali wewe unashinda kutukana na kujiimbisha samehe saba mara sabini wakati umetoka kuua au kuzini na mke wa mtu. Kwanini tusikaririshwe upendo, mi mbona waislam nawachukulia kama watu ambao ni wa kawaida sio kama ambavyo inaonekana. Sasa mtoa mada ni kama unasema Jim ametoka gizani ameenda kwenye nuru kwahiyo nyie ndo nuru sisi giza.
Mkristo angeandika hivi huu uzi ungefikisha comments 10,000 kwa matusi.
Something is wrong
 
Dini inayohubiri mambo ya ngono,eti ukijilipua ukafa utakuta mabikra 72 Mungu kakuandalia.Mungu gani anaeandalia watu wa kufanya nao ngono huko mbinguni?
Mambo ya kipuuzi kabisa haya
Mtu anajivika mabomu anasema anakufa kwasababu ya aliemuumba
 
#MaaShaAllah

Muigizajaji Wa Nollywood NCHINI NIGERIA Aitwaye Jim Ike Atangaza Ramsi Kuachana Na Dini yake ya UKRISTO na KUSILIMU na Kuwa Muislamu, Amefanya Uamuzi huu Baada Ya Kusoma VITABU Kwa Kina Na Kubaina Mambo ambayo ni kinyume na UKRISTO..

Usiogope KUFUATA Haki Ilipo, Usiogope Familia au JAMII, Tambua Siku ukiwekwa Kaburini Hakuna Ndugu takae kuja Kukaa na wewe Kaburini, Wala hakuna Rafiki Atakae kutetea Siku umesimamishwa kwenye Mahakama ya Mwenyezi Mungu. Kila Mtu ataitetea Nafsi yake na moto (QURAN 66-6)

Fuata Haki Kwa Ajili ya Allah jalallah. Usiogope Familia au JAMII itakutenga KISA Umekuwa Muislamu, Bora Utengwe na Familia na JAMII lakini Usitengwe na Mwenyezi Mungu.

Ukitengwa na Mungu Maana yake Utakuwa mbali na Rehma zake.

Acha kukaririshwa Chuki Katika Nafsi Kuhusu UISLAMU. TAFUTA VITABU soma mwenyewe.

WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU

KARIBU KATIKA UISLAMU
MashaAllah
 
Dini ya kikristu huwa haiitaji promotion kutangaza dunia nzima pale mtu anavyobatizwa na kuwa mkristu

Ila ndugu zetu akitokea mtu alikuwa maarufu, baadaye msongo wa mawazo ukamwingia akili ikawa form six kwa ajili ya kufilisika au umaarufu kuisha akiahidiwe mahela na hao mabwana wa mwanandani, na kubadili dini Atatangazwa dunia nzima kama ndio marketing icon

Dini ya Kikristu wanapokea mamia ya wapagani ( wasiomwamini Krisu kama Mwokozi wao) kwa siku na hawatangazi popote na tena kabla ya kupewa u atizo mtakatifu wanapata mafundisho ya miaka 3 ili waujue ukristu na kuchunguzwa kuwa ni kweli anakubali ukristu akiwa na akili timamu au ni Dishi?

Ila ndugu zetu ni voda fasta, hakuna cha mafundisho wala nini, unatamka ile digrii yao kwisha habari yako , uwe dishi limecheza, msongo wa mawazo mtajuana mbele

Sasa si umeingia kirahisi, jitoe uone shughuli ya jeshi ndio utajua maarage sio mboga,
 
Hakuwa ovyo
Luka 4:16 "Basi yesu alikwenda Nazaretu,malali alipolelewa,na siku ya sabato,aliingia katika sunagogi kama ilivyokua desturi yake.Akasimama Ili asome maandiko matakatifu kwa sauti"
N.B Sunagogi ni misikiti ya wayahudi,angalia kamusi yake nyuma ya biblia.
(Soma Aya hii kisha nipe jibu kama utapendezwa)
 
#MaaShaAllah

Muigizajaji Wa Nollywood NCHINI NIGERIA Aitwaye Jim Ike Atangaza Ramsi Kuachana Na Dini yake ya UKRISTO na KUSILIMU na Kuwa Muislamu, Amefanya Uamuzi huu Baada Ya Kusoma VITABU Kwa Kina Na Kubaina Mambo ambayo ni kinyume na UKRISTO..

Usiogope KUFUATA Haki Ilipo, Usiogope Familia au JAMII, Tambua Siku ukiwekwa Kaburini Hakuna Ndugu takae kuja Kukaa na wewe Kaburini, Wala hakuna Rafiki Atakae kutetea Siku umesimamishwa kwenye Mahakama ya Mwenyezi Mungu. Kila Mtu ataitetea Nafsi yake na moto (QURAN 66-6)

Fuata Haki Kwa Ajili ya Allah jalallah. Usiogope Familia au JAMII itakutenga KISA Umekuwa Muislamu, Bora Utengwe na Familia na JAMII lakini Usitengwe na Mwenyezi Mungu.

Ukitengwa na Mungu Maana yake Utakuwa mbali na Rehma zake.

Acha kukaririshwa Chuki Katika Nafsi Kuhusu UISLAMU. TAFUTA VITABU soma mwenyewe.

WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU

KARIBU KATIKA UISLAMU
hata hivyo kachelewa sana...ule mjicho wake tu ni wa kigaidi,manung'uniko,malalamiko,HUSUDA,wivu,fitina na choyo.. ameenda sehemu alikopaswa kuwapo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
#MaaShaAllah

Muigizajaji Wa Nollywood NCHINI NIGERIA Aitwaye Jim Ike Atangaza Ramsi Kuachana Na Dini yake ya UKRISTO na KUSILIMU na Kuwa Muislamu, Amefanya Uamuzi huu Baada Ya Kusoma VITABU Kwa Kina Na Kubaina Mambo ambayo ni kinyume na UKRISTO..

Usiogope KUFUATA Haki Ilipo, Usiogope Familia au JAMII, Tambua Siku ukiwekwa Kaburini Hakuna Ndugu takae kuja Kukaa na wewe Kaburini, Wala hakuna Rafiki Atakae kutetea Siku umesimamishwa kwenye Mahakama ya Mwenyezi Mungu. Kila Mtu ataitetea Nafsi yake na moto (QURAN 66-6)

Fuata Haki Kwa Ajili ya Allah jalallah. Usiogope Familia au JAMII itakutenga KISA Umekuwa Muislamu, Bora Utengwe na Familia na JAMII lakini Usitengwe na Mwenyezi Mungu.

Ukitengwa na Mungu Maana yake Utakuwa mbali na Rehma zake.

Acha kukaririshwa Chuki Katika Nafsi Kuhusu UISLAMU. TAFUTA VITABU soma mwenyewe.

WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU

KARIBU KATIKA UISLAMU
Uislam Ni Ukristo Mambo leo...Uislam imetokea miaka Mia tano baada ya Kristo,Cha kushangaza Uislamu unaelezea visa vilivyokwisha elezwa na Ukristo Kama habari ya Yesu wakaita Isa,habari ya Yona wakaita Yunus,habari Ibrahim,habari ya ayub yaani walichofanya Ni ku Update tu,na kudai vilitokea kwenye jamii ya kiislamu,wakati matukio hayo yalitokea wayback...
 
Back
Top Bottom