Jim Ike atangaza rasmi kusilimu

Jim Ike atangaza rasmi kusilimu

Jim Ike ni nani hata kila Mtu amfuate
Si Ndio mafreemason wa Nigeria hao
 
Acha uongo tuletee chanzo cha habari. Halafu fuatilia jinsi Udini unavyoitesa Nigeria sio sawa na huku kwetu vingi wenzetu wako very serious.
 
Ameiacha kweli ambayo inamuweka huru, ameacha NURU na kuiendea GIZA.

YESU ni njia ya kweli na uzima.
Anadanganya huyu muandishi nimefatilia kumbe hakuna ukweli wowote😂😂🤣🤣kajitungia tu
 
Acheni kutunga habari zako jana kapost thank you Jesus kwenye kurasa yake moja na ukiingia insta hakuna kitu kama hicho 🤣🤣😂😂😀 yaani umeamua kumtungia mtu wa watu kwa habari za uongo😂😂😀😀😀
 
Kaifata nuru na kaicha giza ISAYA 23:17
Uongo mtupu jamaa hajabadili din chunguza mitandao yake ndio kwanza anamsifia Jesus😂😂🤣🤣 acheni kutunga ila sisi tukikupa habari za waislam kuingia ukristo ni true kabisa ila zenu ni uongo mtupu mlisemaga tyson kumbe sio, aliyebadili alikuwa mohamed ali tu na familia yake woote ni wakristo 😂😂😀😀
 
Mleta mada mwenyewe kakimbia
 
images (23).jpeg
 
Wwnye kuslim ndio wenye akili
Akili za kufanywa mazombi mpaka unaambiwa nenda kajilipue. Mwingine anajilipua sehemu walipo wazazi wake.
Kuua mbele ya camera ndo uislam wa kweli na ndo akili? Nimekubali naona waislam wote wana Phd.
 
Back
Top Bottom