Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,589
Leo nina ugeni wa member mmoja maarufu hapa CHIT-CHAT na MMU nimeamua kumtengenezea mbuzi katoliki(kavu) na mazaga mengine.
Maandalizi
>Nyama kg 2
>Ndizi mzuzu
>Mchicha
>Tangawizi ,kitunguu swaum,chumvi,hilal motto,limao,
>Karot,hoho,tango,nyanya,kitunguu maji
Maandalizi
>Nyama kg 2
>Ndizi mzuzu
>Mchicha
>Tangawizi ,kitunguu swaum,chumvi,hilal motto,limao,
>Karot,hoho,tango,nyanya,kitunguu maji