Ma lejendare tulielewa haraka hapa!Ndio ndio si unajua mgeni akija vyakula vinakua viwili sasa..
Ma lejendare tulielewa haraka hapa!Ndio ndio si unajua mgeni akija vyakula vinakua viwili sasa..
Duu ww high classMchicha nayo mboga??Mchicha natumiaga kuwashia moto getoni kwangu.
Unaweza kukuta kashindia mihogo ya mia tano huyo...Duu ww high class
sometimes kuna wanawake wanapika kazi yao kupiga picha tu
😂😂😂Natafuta siku nichukue kilo 15 mje kupiga kikubwa mje na pombe tu
NdiooSi mtakuja marafiki zangu wa jf?
Mkuu vipi upo?? Najua utakua unaburudika na ksafari bariiiiidiHahahahahaha hapo ni mim mkuu
Daaaaaaaaaah aiseeee
Watu mna dhambi kubwa huku duniani mpaka akhera
nini shida antii
Hatari sanaHiyo kitu inatamanisha hatariii denja
Mkuu vipi upo?? Najua utakua unaburudika na ksafari bariiiiidi
Nipo ya 3 nataka nikalale
Ukifika ya 5 nishtue nikwambie kitu
Nipo ya 5 sasa hiv
Ya sita sijafungua
Ni kweli mkuu, tunajua tu kuila!!Hahaha hakuna wadada wanapika kitimoto..kwanza hawajui
Bro ntakucheck keshoNipo ya 3 nataka nikalale
Fungua tu mkuu narudi