Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,332
- 9,542
Mlenda ni noma aisee,tena upikwe na karanga, ni hatariAisee kwenye mlenda na maziwa mpaka Bi mkubwa nilishaga mwambia kama kunamtu anataka kuniua hana haja ya kuhangaika sana aweke tu sumu kwenye hizo mboga ameshanikamata