Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,001
- 1,586
Umenunua la bei rahis Mi nina jiko la model hiyo tangu 2017 hadi zima halina mpasuko wa aina yoyotekama kichwa habari hapo juu
Nimenunua jiko la plate mbili seperatively yaan nimenunua kimoja kimoja .
Jiko lina wiki tu ndo limekuwa hivi.
Yaan vioo vikepasuka pasuka kwa pembeni.
View attachment 1983299View attachment 1983300
Umenunua shi ngapi kaka?.Umenunua la bei rahis
Mi nina jiko la model hiyo tangu 2017 hadi zima halina mpasuko wa aina yoyote
Kama kuna sababu ilisababisha kupasukapasuka kwa kioo nijue mkuuulikuwa unataka tukusaidie nini kiongozi...?
Niko mbion kuoa tena ukila hizi chips hutatoka homeMkuu unakaanga mpaka chips kweli utaowa wewe?
Sema umepasua sio kimepasuka, kwa matumizi ya kusonga ugali majiko haya lazima upate matokeo ya aina hiyokama kichwa habari hapo juu
Nimenunua jiko la plate mbili seperatively yaan nimenunua kimoja kimoja .
Jiko lina wiki tu ndo limekuwa hivi.
Yaan vioo vikepasuka pasuka kwa pembeni.
View attachment 1983299View attachment 1983300
Linatumia remoti au maana naona remoti hapo pembenikama kichwa habari hapo juu
Nimenunua jiko la plate mbili seperatively yaan nimenunua kimoja kimoja .
Jiko lina wiki tu ndo limekuwa hivi.
Yaan vioo vikepasuka pasuka kwa pembeni.
View attachment 1983299View attachment 1983300
Umepata fake !kama kichwa habari hapo juu
Nimenunua jiko la plate mbili seperatively yaan nimenunua kimoja kimoja .
Jiko lina wiki tu ndo limekuwa hivi.
Yaan vioo vikepasuka pasuka kwa pembeni.
View attachment 1983299View attachment 1983300
Uko sahihi, ilitokea hilo tatizo moto unajipenyeza aisee ilipasuka pasuka ningekuwa mbali ningeunguza nyumbaKama kuna sehemu huko chini kuna moto unajipenyeza pasipo hitajika,litavunjika lote polepole.
Hata sijui mkuuhiyo simu ndogo umenunua bei gani?
KumbeKama kuna sehemu huko chini kuna moto unajipenyeza pasipo hitajika,litavunjika lote polepole.
Asante sana mkuuPole sana...
Hapana mkuuLinatumia remoti au maana naona remoti hapo pembeni