Jiko la pizza

Nyaubwii

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
229
55
Wadau naandaa mchanganuo wa biashara ya mgahawa pamoja na pizza. Nimekwama kujua gharama ya kujenga jiko la pizza. Mwenye kufahamu gharama za kujenga hilo jiko naomba anijuze. Au mwenye kufahamu mafundi wa kujenga jiko la pizza naomba anisaidie pia.
 
cheki wajenzi mbalimbali na uwaulize gharama zao then utalinganisha bei zao na utaamua. pia waweza tembelea mgahawa wenye jiko na ukamuuliza owner kuhusu jiko la pizza. ukikamilisha ututaarifu mkuu tuje kununua misosi
 
jiko la pizza linakua kama tanuru fulani. ungeweza kuwacheki tatedo (wako nyuma ya ustawi wa jamii, baada ya hongera bar). unaweza kuwacheki na sido ama veta.
 
Asante mkuu nitafanyia kazi ushauri wako. Mambo yakikamilika nitawaambia wana JF waje kuonja pizza. Nashukuru sana mkuu.
 
jiko la pizza linakua kama tanuru fulani. ungeweza kuwacheki tatedo (wako nyuma ya ustawi wa jamii, baada ya hongera bar). unaweza kuwacheki na sido ama veta.
Thanks king'asti nitawatafuta pia hao jamaa nijue wanafanyaje.
 
Back
Top Bottom