Jiko la kuni tatu

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Nimesikia kua kuna jiko la kuni tatu tu chakula kinaiva.Wakuu kama kuna mtu mwenye taarifa zaidi atujuze mechanisms zake jinsi linavyofanya kazi
 
nnavojua mimi hayo majiko yanatumia kuni artifical na sio za kawaida, zile kuni ambazo zimetengenezwa na uchafu wa mashambani kama hizi
2647144_f520.jpg

Kuni hizi hata uchukue mafiga ustumie jiko 3 zinapika vizuri na hazina moshi.

Ukiniuliza pa kuzipata spajui ila nnachokumbuka tulikua tunatumia shuleni mwika
 
Back
Top Bottom