habarin ndugu zangu,samahan nlikua naulizia gharama ya jiko dogo la kupikia mkate na hilo jiko dogo linaweza kupika mikate mingapi yenye ujazo wa nusu kilo kwa raundi moja?
Ntashukuru sana kwa msaada
Je lenye uwezo wa kupika mikate 10 linakua na gharama gan mana nlikua nataka nijaribu kufanya cost estimation afu nijue itakuaje na je hilo jiko linaweza kupika hata Keki?ntafurah ukinisaida la Mikate 10 bei yake
Samahan kwa ukimya ila naprefer la umeme mana la mkaa sina uhalisia wa matumiz yake na naogopa tunaweza kuunguza na kukosa wateja na ndo mana naangaika na la umeme ambayo ni rahisi kulicontrol na ndo mana nimeulizia dogo la mikate 10 mana mtaji wangu ni mdogo