Jiko dogo la kupikia mikate

jashmoe32

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,087
423
habarin ndugu zangu,samahan nlikua naulizia gharama ya jiko dogo la kupikia mkate na hilo jiko dogo linaweza kupika mikate mingapi yenye ujazo wa nusu kilo kwa raundi moja?
Ntashukuru sana kwa msaada
 
linarange kati ya milioni 2 hadi tatu linaweza pika mikate 20 kwa mkupuo
 
Je lenye uwezo wa kupika mikate 10 linakua na gharama gan mana nlikua nataka nijaribu kufanya cost estimation afu nijue itakuaje na je hilo jiko linaweza kupika hata Keki?ntafurah ukinisaida la Mikate 10 bei yake
 
Good question.

Samahan kwa ukimya ila naprefer la umeme mana la mkaa sina uhalisia wa matumiz yake na naogopa tunaweza kuunguza na kukosa wateja na ndo mana naangaika na la umeme ambayo ni rahisi kulicontrol na ndo mana nimeulizia dogo la mikate 10 mana mtaji wangu ni mdogo
 
Sawa ndugu.
Nadhani wenye uzoefu na majiko ya umeme watakusaidia kulipata
 
sawa kaka na naomba msaada wa mashne ya kubake bread n thanx kwamba ulinielewa,mbna hautoi msaada zaid ya kukosoa tu
 
Nashukuru kWA MSAAADA wenu na nimefanikiwa kupata hilo Jiko mana nlitaka kujua thamn yake na nimefanikiwa kupata la mkaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom