Jiji lazidi kusafishwa, Mambo ya Dar haya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiji lazidi kusafishwa, Mambo ya Dar haya...

Discussion in 'Jamii Photos' started by nngu007, Oct 9, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  GARI LA USAFI LIKISAFISHA BARABARA YA OHIO,KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.​


  Unaona SIO LAU pekee... KILA MTU ANAWEZA!!!
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,149
  Likes Received: 12,857
  Trophy Points: 280
  Bora aiseeeeeee

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Na yale mauchafu yanayorundikana kariakoo sokoni je?
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Lije na kwetu mbagala.

  Maisha bora kwa kila mtanzania-jk
   
 5. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hii ni kampuni ni ya Lawrence Masha! imepewa tenda ya kuzoa uchafu.
   
 6. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kwanza waweke trash bins in all corners of the city, bila hilo itakuwa just a show off
   
 7. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,682
  Likes Received: 636
  Trophy Points: 280
  Aisee!!
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Sasa ccm watakosa wa kuwatangazia kofia na matambara yao maana wale wamama-chokambaya wanaofagiaga barabara wakiwa wametinga flana za magamba watafulia.
   
 9. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Kweli aisee, tunalihitaji sana hata sisi huku mavurunza
   
 10. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Mrembo,

  Najaribu kujiuliza "trash bins zilizopo tumezitumiaje?"
   
 11. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ivi zipo?

  zijafika mjini mda kidogo. ila what i remember zilizokuwepo ni chache.
  pia watu ni watukutu sana, inabidi jiji liweke askari wa usafi na watoe elimu, taratibu watu watazoea

   
 12. jacjaz

  jacjaz JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ni kwa mjini tu au hata kwetu uswazi ?! huku Mwanaghati hatujui hayo mambo.
   
 13. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hiyo kazi ya kufagia barabara( Barabara ya Ohio) naona watakuwa waikifanya kutwa nzima! Kwani pembeni ya barabara hiyo naona ni kuna mchanga wa kumwaga!
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280
  safi sana hapa sasa tunaanza kuelewana na bado gari la maji
   
 15. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Gari la maji kwa shughuli gani?
   
 16. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160

  Hii nchi inaufisadi mkubwa sana, umnataka kuniambia kuwa Jiji haliwezi kununua haya magari au ndio kupoeana ulaji? Ndio maana Kazi kwenye Idara za Serikali zinadorora kwa mambo kama haya ya kupeana tenda za kipuuzi kama hizi
  .

  Hospital hazipewi dawa, Shule za serikali elimu inashuka kwa kutegemea viongozi mafisadi wanapoa staafu wanaanzisha miradi ambayo ilitakiwa kufanywa na serikali. Hii ni AIBU kwa Taifa
   
 17. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mnashangilia Ufisadi wa viongozi mafisadi? wanapokuwa serikalini hawafanyi haya mambo yanatotakiwa kufanywa na serikali, kumbe wanajiwekea miradi ya kuja kufanya ufisadi tena na kuzitafuna pesa za walalahoi.
   
 18. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  This rot has been going on in the CCM for years already now. The CCM is riddled with thieves whose aim is stealing tax payers hard earned money. Until the day that we have voters literally holding politicians/thieves accountable the situation can only get worse. Burning tyres and blocking roads is a stupid response to addressing corruption/service delivery.

  The Tanzanian People we should learn to punish corruption infested political parties like the CCM at the voting booth. Wake up Tanzanian people this Corrupt Government of CCM it need to be remove!

  It is also incumbent upon the citizenry and business to desist from corrupting the tender processes, because in the end the entire country loose and a small number of greedy individuals make millions on the back of the poor

  The CCM is not the future of the country. We should stop obsessing about the CCM.


  We need Government to deliver to the people, they must stop manipulate the system to enrich themselves

   
 19. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Barabara itasafishwa baada ya muda kidogo mchanga utarudi, kwanini tunapojenga barabara tusiweke kauzio kadogo ka zege ili kuzuia mchanga usiingie barabarani...,
   
 20. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hayo magari yapo mangapi kufanya usafi katika jiji chafu kama Dar es salaam?Kwanza huu ni upuuzi maana barabara nyingi zina michanga pembeni hivyo kufanya kazi ya kufagia kuwa ni ya kila siku
   
Loading...