![]()
GARI LA USAFI LIKISAFISHA BARABARA YA OHIO,KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Unaona SIO LAU pekee... KILA MTU ANAWEZA!!!
Hii si bure huenda ima mke wa moja kati ya waliokuwa maarais wa marekani atakuwa anakuja. Kama wako serious na suala la kusafisha jiji tuyaone hayo magari na kule soko la buguruni,tandika,kariakoo etc na sio kusafisha sehem ambazo tayari ni safi