Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
- Thread starter
- #81
ndomana nkwambia bado huijui vizuri au resaerch hukuzunguka maeneo sahihi
1.kuhusu usafi hili jiji sasa nadhani ndo jiji chafu kasoro Dar ndo chafu duniani haliwezi kutushinda.kwanaza kabisa pita hata sasahivi mitaa ya kauma utakuta jiji lilio jaza wa chuuzi wa matunda na vyakula(kama mahindi)pamoja na hawa wa viatu na nguo wamepnga barabarani bila hata ustaarabu na hili pia ni uchafuzi wa mji,pia kuna chemba kibao zinamwaga majitaka yanayoingia barabarani hasa hii barabara ya pamba.
2.kwa vijana wanaotumia dawa za kulevya nenda stand zote za jiji utawakuta,ukitaka kujua zaidi jaribu kutembelea kirumba mtaa wa khalfani,uhuru,mviringo,kilimahewa big bite utayakuta haya
3.uvaaji hovyo upo sana tu hasa kwa hawa madada zetu wa ofisini ndo hodari,kwa wavaa supra na skini jeans na milegezo pia wapo idadi kubwa ni madogo wa sekondari
4.kwamadada poa fika deluxe,villa,vituguu(soko kuu),au bar yoyote ilio na live band utawanyaka wakumwaga au nenda pale igoma bar yoyote ile utakuta hawa wadada tena wanakonyeza wenyewe
5.starehe kunaviwanja vingi tuu,ukitaka mziki skuizi kila mtaa una club nini,ila ukitaka kwa quality ndo usogee sasa pale JB,Rockbottom,Fusion,Vill park...
Mwisho kabisa hakuna jiji kama Rock city
Asante kwa maelezo yako ya nyongeza,ila mim kwa mda niliokuepo mwanza huo ndio mtazamo wangu,wala lengo langu halikua kufanya study ya jiji la mwanza,km ningefanya study ningeibuka na mambo mengi zaidi.