Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

wapo ila sio wengi sana,wanapatikana maeneo ya karibu na gold crest hotel,new mwanza hotel ila sio wengi km wale wa kinondoni,sinza huko dar
Mkuu uwingi wa kitu huwa tunauchukua kwa kutumia asilimia (%) mfano kwenye watu 2000 vyangudoa wakiwa 500 huwezi sema ni wachache ukilinganisha na vyangudoa 1000 kwenye watu 7000. Au mtu anaehonga nyumba ya milioni mia wakati kipato chake ni bilioni 10 kwa mwaka na mtu anaehonga kiwanja cha milioni moja wakati kipato chake kwa mwaka ni milioni 6 ( kwa mfano huu alieumia ni huyo aliehonga kiwanja na sio nyumba). Sasa huo uchache umeupima kwa vigezo vipi, embu rudi utuelimishe ili na mie kama mwana Mwanza nijivunia
 
Masikini inaelekea huijui Arusha wewe....Karibu Arusha uone the true maginificent ya mji.......Huu mji ni Ulaya ya Tz..
Arusha kweli ni nzuri tatizo la kimiundombinu ndilo limeufanya mji uchelewe kuwa jiji, kiukweli hakuna zoezi gumu kulinganisha sifa za miji miwili hasa kama watu wanalinganisha kiushabiki. Kila mji una uzuri na mapungufu yake. Kwa mtu ataekaa Arusha kwa siku moja ama mbili atakuwa na views zake kuhusu Arusha na the same anaekaa Mwanza. Ila kiukweli Arusha city kama ingetanuka mpaka kuichukua Arumeru mashariki na magharibu ingekuwa bonge la mji tatizo linakuja kwenye ufinyu wa mji kiasi kwamba zoezi la kuurekebisha mji kuuweka kisasa hasa kwenye makazi ya watu linakuwa gumu kwani tayari kumeshasongamana kiasi kwamba katika radius ya 5km kila upande kutoka katikati ya mji unakuwa umelimaliza jiji, mwisho wa siku raia wanafanya hapo town badala ya kuuendeleza mji wa Arusha kama jiji wanakwenda kujenga mnaeneo kama Usa, Tengeru au Ngaramtoni ambayo kimsingi ni wilaya ya Arumeru hence mapato ya kodi ya majengo yanapotea. I wish kama mamlaka zinazohusika wakautanua mji mpaka Maji ya chai na Oldonyo sambu na kuupima vizuri (hapa itakuwa mji wa kisasa), ila kwa sasa Mwanza inakimbiza kwa kiasi chake though na Arusha ina ka-fleva flani kazuri hasa ukiwa katikati ya mji na ndiko wengi huwa tunapaona hapa
 
bado huijui Mwanza vizuri ndugu yangu,rudia research yako

Nimeacha au sijagusa wapi mkuu?mi najua nilisahau kuzungumzia lugha,wakaz wengi wa mwanza wanaongea kiswahili fasaha ingawa kimeathiriwa na lafudhi ya kikabila,mfano lafudh ya kisukuma,kikurya,kihaya,nk,tofauti na watu wa arusha au dar(hasa vijana) ambao vanaongea kiswahili cha kihuni ikichanganywa na kimombo kibovu kwa mbali..utasikia ooh yeah men i was come akimaanisha nilikuja.

Pia mwanza watu wengi wanaongea lugha zao za nyumbani,ni kawaida kusikia kisukuma au kikurya katkati ya mji tofauti na dar ambapo katkat ya mji utasikia kiswahili au kimombo.
 
Wengi watakujibu kiushabiki ila kikubwa mie nahisi hii inachangiwa na makabila yanayozunguka pale na ni kwa kiasi gani wanazihenzi tamaduni zao,lakini pia ukanda huo hauna mambo ya kiswahili ambayo kwa kiasi kikubwa yanapelekea ndoa(mapenzi) kuwa sehemu ya maisha na kubweteka wanaume kama wale wa kipwani,na pia bado mwanaume anapewa heshima ya umwanaume kwa kiwango stahiki kwahiyo bado maadili yanasimamiwa kuanzia familia baba yuko juu

Tupo pamoja kiongozi mchango wako hauhitaji nyongeza.uko vizuri ki mtazamo
 
Tutake radhi wanawake wa Darisalama kwanza..............

Hakuna Mkuu! Haombwi radhi mtu hapa namtetea mleta mada! Kwani uongo sasa kwamba wadada wa Darisalama ndani ya mtongozo wa saa 1 unakuwa umetafunwa? Tuna ushahidi bwana! Big up mleta mada kwa kuwafagilia dada zetu Mza!
 
Mkuu uwingi wa kitu huwa tunauchukua kwa kutumia asilimia (%) mfano kwenye watu 2000 vyangudoa wakiwa 500 huwezi sema ni wachache ukilinganisha na vyangudoa 1000 kwenye watu 7000. Au mtu anaehonga nyumba ya milioni mia wakati kipato chake ni bilioni 10 kwa mwaka na mtu anaehonga kiwanja cha milioni moja wakati kipato chake kwa mwaka ni milioni 6 ( kwa mfano huu alieumia ni huyo aliehonga kiwanja na sio nyumba). Sasa huo uchache umeupima kwa vigezo vipi, embu rudi utuelimishe ili na mie kama mwana Mwanza nijivunia

Aah Jf haiishi vituko eti Vyangudoa!! Mkuu utanivunja mbavu!
 
Nimeacha au sijagusa wapi mkuu?mi najua nilisahau kuzungumzia lugha,wakaz wengi wa mwanza wanaongea kiswahili fasaha ingawa kimeathiriwa na lafudhi ya kikabila,mfano lafudh ya kisukuma,kikurya,kihaya,nk,tofauti na watu wa arusha au dar(hasa vijana) ambao vanaongea kiswahili cha kihuni ikichanganywa na kimombo kibovu kwa mbali..utasikia ooh yeah men i was come akimaanisha nilikuja.

Pia mwanza watu wengi wanaongea lugha zao za nyumbani,ni kawaida kusikia kisukuma au kikurya katkati ya mji tofauti na dar ambapo katkat ya mji utasikia kiswahili au kimombo.

ndomana nkwambia bado huijui vizuri au resaerch hukuzunguka maeneo sahihi
1.kuhusu usafi hili jiji sasa nadhani ndo jiji chafu kasoro Dar ndo chafu duniani haliwezi kutushinda.kwanaza kabisa pita hata sasahivi mitaa ya kauma utakuta jiji lilio jaza wa chuuzi wa matunda na vyakula(kama mahindi)pamoja na hawa wa viatu na nguo wamepnga barabarani bila hata ustaarabu na hili pia ni uchafuzi wa mji,pia kuna chemba kibao zinamwaga majitaka yanayoingia barabarani hasa hii barabara ya pamba.

2.kwa vijana wanaotumia dawa za kulevya nenda stand zote za jiji utawakuta,ukitaka kujua zaidi jaribu kutembelea kirumba mtaa wa khalfani,uhuru,mviringo,kilimahewa big bite utayakuta haya
3.uvaaji hovyo upo sana tu hasa kwa hawa madada zetu wa ofisini ndo hodari,kwa wavaa supra na skini jeans na milegezo pia wapo idadi kubwa ni madogo wa sekondari

4.kwamadada poa fika deluxe,villa,vituguu(soko kuu),au bar yoyote ilio na live band utawanyaka wakumwaga au nenda pale igoma bar yoyote ile utakuta hawa wadada tena wanakonyeza wenyewe

5.starehe kunaviwanja vingi tuu,ukitaka mziki skuizi kila mtaa una club nini,ila ukitaka kwa quality ndo usogee sasa pale JB,Rockbottom,Fusion,Vill park...

Mwisho kabisa hakuna jiji kama Rock city
 
Kwani dar si mji wa wazaramo? Vipi kuhusu kzaramo hakiongelewi hapo jijini dar?
 
Mwanza ni mji uliotulia, hauna vurugu za kijinga na wahuni wasio na kazi, pamoja na hali ya hewa maridhawa, upepo mzuri wa ziwa, rangi ya kijani, msongamano mdogo kusema kweli ni mji ideal kwa watu watulivu! Hakuna mji unaokosa "uswahilini", hata mwanza ukienda igogo huko milimani, mabatini, baadhi ya maeneo ya butimba kuna mitaa ambayo inaudhi, watu wanatofautiana vipato hivyo ni kawaida kuwa na maisha ya utofauti katika mji. Muda mrefu kidogo sijafika Mwanza lakini kule sehemu za starehe si nyingi sana, hakuna mitaa yenye mabar kila kona, night clubs sidhani kama zinazidi mbili, i really miss mwanza; asubuhi supu ya samaki, mchana ugali samaki choma, jioni wali samaki...daaah..samaki samaki! Mwanza, mji ambao napenda kutulia nitakaporetire na michakato ya dunia, mishe zangu zikiwa zinajiendesha zenyewe na mifereji ya pesa ikimwagika pomoni, hapo nitarudi mwanza, nitanunua kisiwa na kusubiri kifo kwa amani zote...lol!
View attachment 143117
View attachment 143118

Tutazeekea wote hapo Mkuu! Ila mpaka tufikie hapo viwanja si watakuwa wanapima Misungwi au Nyanguge? Maana maeneo ya karibu na jiji yatakuwa yamejaa! Ila kuna taarifa niliisikia kuwa karibia wanavuka ng'ambo ya ziwa upande wa Sengerema, yaani Kamanga, Kabuholo, Busisi n.k kote huko liwe jiji. Hii ni ndani ya miaka 10 ijayo.
 
Wahi kushika maeneo ya huko wakati hayajapiwa watakukuta tu huko unachofanya wewe ni kuwakatia watu na kuingiza hela si unajua kuna watu mpaka sehemu ichanganye ndio wananunua
 
ndomana nkwambia bado huijui vizuri au resaerch hukuzunguka maeneo sahihi
1.kuhusu usafi hili jiji sasa nadhani ndo jiji chafu kasoro Dar ndo chafu duniani haliwezi kutushinda.kwanaza kabisa pita hata sasahivi mitaa ya kauma utakuta jiji lilio jaza wa chuuzi wa matunda na vyakula(kama mahindi)pamoja na hawa wa viatu na nguo wamepnga barabarani bila hata ustaarabu na hili pia ni uchafuzi wa mji,pia kuna chemba kibao zinamwaga majitaka yanayoingia barabarani hasa hii barabara ya pamba.

2.kwa vijana wanaotumia dawa za kulevya nenda stand zote za jiji utawakuta,ukitaka kujua zaidi jaribu kutembelea kirumba mtaa wa khalfani,uhuru,mviringo,kilimahewa big bite utayakuta haya
3.uvaaji hovyo upo sana tu hasa kwa hawa madada zetu wa ofisini ndo hodari,kwa wavaa supra na skini jeans na milegezo pia wapo idadi kubwa ni madogo wa sekondari

4.kwamadada poa fika deluxe,villa,vituguu(soko kuu),au bar yoyote ilio na live band utawanyaka wakumwaga au nenda pale igoma bar yoyote ile utakuta hawa wadada tena wanakonyeza wenyewe

5.starehe kunaviwanja vingi tuu,ukitaka mziki skuizi kila mtaa una club nini,ila ukitaka kwa quality ndo usogee sasa pale JB,Rockbottom,Fusion,Vill park...

Mwisho kabisa hakuna jiji kama Rock city
Nimependa conclusion yako ila hakuna jiji kama MZA kwenye nini mkuu, embu funguka (kwenye uchafu au uzuri?)
 
Mtoto nuksi wewe unang'ata na kupuliza...Khaaa...
 
makubwa hayo...ngoja nijiweke kando kusubiri wadau walonge.
 
Back
Top Bottom