Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

hahahaha big up bro bonge la research linI unakwenda mtwara na lindi
 
Mambo yote Mbeya. mwanamke kabla hata hajatongozwa chini kumeshaloa na gesti anakuonyesha na kuongoza mwenyewe

kwanini kumnyima mtu kitu ulichopewa bure na mungu kuweni na huruma
 
hahahaha big up bro bonge la research linI unakwenda mtwara na lindi

wanawake wa kule wengi(sio wote)wafupi,,washrikina kwenye mapenz,kwangu wanakosa sifa huwa hata siwaangalii wala kuwatathmin.
 
Hakuna jiji kama Arusha....Kwasasa Arusha ni mji msafi sana..

uzuri wake n nn mkuu,ujenz holela,uchafu maeneo ya kilombelo sokon,stendi kuu na maeneo ya jiran,soko kuu,uvutaji bangi,mirungi na ujambazi?
 
Wengi watakujibu kiushabiki ila kikubwa mie nahisi hii inachangiwa na makabila yanayozunguka pale na ni kwa kiasi gani wanazihenzi tamaduni zao,lakini pia ukanda huo hauna mambo ya kiswahili ambayo kwa kiasi kikubwa yanapelekea ndoa(mapenzi) kuwa sehemu ya maisha na kubweteka wanaume kama wale wa kipwani,na pia bado mwanaume anapewa heshima ya umwanaume kwa kiwango stahiki kwahiyo bado maadili yanasimamiwa kuanzia familia baba yuko juu
 
Mwanza kama itajipanga vizuri ndio hub ya East Africa. Ina kila sababu ya kuwa!!!
 
sasa ulijuaje demu wa mwanza unampata ndani ya cku 3 na wa benki masaa tu?

Mtoa mada ni internal auditor wa benki flani. sasa wale wa benki walimpapatikia kumkata makali akajua wote Mza wako hivyo. Sio kaka
 
Umenikumbusha mengi mkuu kuhusu mwanza...jiji moja zuri sana kula bata..
 
Mtoa mada ni internal auditor wa benki flani. sasa wale wa benki walimpapatikia kumkata makali akajua wote Mza wako hivyo. Sio kaka

sio mkuu,mim sio mkaguz wa ndani,mi nafanya kazi nyngne kabisa mkuu.
 
Hakuna jiji kama Arusha....Kwasasa Arusha ni mji msafi sana..

arusha majungu,vurugu,maandamano.bangi,umalaya,mji mchafu,kamji kadogo,ujambazi,mfumuko wa bei,hakuna mji wa hovyo kama arusha hapa duniani.
 
Back
Top Bottom