Jiji la mwanza na usafi.....!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiji la mwanza na usafi.....!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shagiguku, Jul 22, 2011.

 1. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  hili ndilo jiji ambalo limekuwa likiongoza kwa usafi miongoni mwa majiji yote hapa nchini kwa miaka
  kadhaa mfurulizo
  P1080743.jpg .

  Na hapa ni mtaa maarufu wa makoroboi ambapo wananzengo (wananchi) wakifanya biashara zao huku kukiwa na uchafu mwingi pembeni ya biashara hizo.
  maswali ya kujiuliza hapa ni kuwa:
  je, hao wanaotupa huo uchafu hapo chini hawalioni hilo sanduku la takataka....???
  je, jiji kwa nini inawachukua muda mrefu bila kuondoa hizo takataka....????
  kwa nini jiji waruhusu kuwepo kwa jalala katikati ya biashara ya watu...???
  je, bwana afya wa jiji huwa anapata hata nafasi kidogo ya kutoka ofisini mwake na kuzungukia maeneo ya kati ya jiji ili kujionea hali ya usafi...???
   
Loading...