Ni hotspot na mimi basi😀😀Tusipoteze muda na salamu
Kwanza kabisa naomba sana habari za kusoma halafu unaanza kulinganisha na marehemu kwenye uandishi sipendi, kama uko hapa celeb kulinganisha mtu na marehemu unakwama sana.
Haya turudi kwenye hoja ya msingi.....
Mjini kuna msiba wa wa kaka/baba mmoja wa mjini kwa jina james....wenye mji wanadai eti ni mmliki wa escape one (sina uhakika wa hili). Sasa basi kwenye kutoka salamu za pole watanzania wa mjini wakaanza kutoa pole kwa mama mmoja nae wa mjini anajulikana kwa jina la mishy73 ambaye pia ni mke wa mzungu mmoja mzee sana.
Maswali ya wambea ni kwamba inakuwaje mishy aolewe na wanaume wawili? maana hata kwenye picha za IG amekuwa akipost picha akiwa na wanaume wote wawili kwa nyakati tofauti tofauti huku akijinadi kuwa ni kila mmoja ni mumewe.
Picha za mishy na wanaume zake (akiwemo marehemu) zipo chiniView attachment 2504951View attachment 2504952View attachment 2504953
Haaahaaahaa watoto wa mujini wamenisoma na wamenielewa mkuu, Sie uwaga tunasema hatarii lakini salama.Kwani wakoje mkuu??
Kumbe yule mtoto sio wakeHaya mlioenda mazishi mkuje hapa
Msibani huwa tunalia lakini kwa namna nyingine huwa tunashikana masikio
Duhh jamani wasiwe na roho mbaya.Kumbe yule mtoto sio wake
Ukoo umesema hawamtambui .kama ni wake mama wa mtoto afate utaratibu ampeleke kwenye kikao cha ukoo wafanye maamuzi
Wasije wakasema anataka mali maana kwa jamaa wako poa.Duhh jamani wasiwe na roho mbaya.
Basi mishy73 amlee jaman
Na kqeli kuna jambo maana mishy anampost huyo mtoto kwa fujo huko IG kama katumwa vile
Ahahah ananung'unula kkuno Cha kimakonde.. Hilo neno kunung'unula nimelisikia zamani Sana enzi hizo nipo kusini Lindi.Huenda bado ananung'unula kiuno cha Kimakonde.
Huu nao ni mtihani mwingine, uwa ngoma inaanza baada ya mazishi. kufanana tena?? Labda ukoo wanamfahamu zaidi marehemu ndio maana wanakazania mtoto sio wake; na baada ya yule mzee kusema vile basi wakamtenga mtoto hadi jamaa anazikwa. Its so sad tbh, haswa kwa huyo dada aliechanganya madawa kwa mzungu na marehemu.Mbona alikuwa anafanana nae? Wangemchukua tuu
Na wewe mishy sio dada ni bibiHuu nao ni mtihani mwingine, uwa ngoma inaanza baada ya mazishi. kufanana tena?? Labda ukoo wanamfahamu zaidi marehemu ndio maana wanakazania mtoto sio wake; na baada ya yule mzee kusema vile basi wakamtenga mtoto hadi jamaa anazikwa. Its so sad tbh, haswa kwa huyo dada aliechanganya madawa kwa mzungu na marehemu.
Wachagga noma yaani hawakumpa kipaumbele hata huyo dada pia kwenye kuweka mashada ya maua. Ndio maana wazungu mazishi yao uwaga wanatamka tu ni Private hakuna watu kuhudhuria.
Hivi nini kimesababisha yule mzee kumkataa dogo pale?? Sema mishy nachompenda hana roho ndogo wala hana dhiki.wala hatamind kiivoHuu nao ni mtihani mwingine, uwa ngoma inaanza baada ya mazishi. kufanana tena?? Labda ukoo wanamfahamu zaidi marehemu ndio maana wanakazania mtoto sio wake; na baada ya yule mzee kusema vile basi wakamtenga mtoto hadi jamaa anazikwa. Its so sad tbh, haswa kwa huyo dada aliechanganya madawa kwa mzungu na marehemu.
Wachagga noma yaani hawakumpa kipaumbele hata huyo dada pia kwenye kuweka mashada ya maua. Ndio maana wazungu mazishi yao uwaga wanatamka tu ni Private hakuna watu kuhudhuria.
kwamba mzungu alioa wake wawiliNimewaona kwenye mazishi front kabisa Tom Kisusi, chris Lupembe na Ben Kinyaiya, basi tu machale yakaanza kunicheza ukizingatia huyo anaesemwa mtoto wa marehemu hakupewa kipaumbele kabisa nikiunganisha doti na huyo mzee wa kimarekani mzungu basi kichwa kinazunguka hatariii. Mji huu wa Daslama una mambo mazito sana.
Kwani alikanwa live live?Hivi nini kimesababisha yule mzee kumkataa dogo pale?? Sema mishy nachompenda hana roho ndogo wala hana dhiki.wala hatamind kiivo
Ila naona kacharuka huko insta anarusha picha za mtoto anzia ubatizo.
Nasubiria za mimba na leba
🤣 🤣 🤣 🤣 mie sijasema.kwamba mzungu alioa wake wawili
live na tunaangalia online.Kwani alikanwa live live?
Hatari saana hiyo ndugu yangu.. 😂Ahahah ananung'unula kkuno Cha kimakonde.. Hilo neno kunung'unula nimelisikia zamani Sana enzi hizo nipo kusini Lindi.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app