Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Porojo nyiiiiiiingi halafu utakuta kwenu ni Mtwara, f.ala weweukisikia jiji la mbeya utafikiri bonge la jiji kumbe upuuzi mtupu. sasa hapa kati nilipata safari ya mbeya nikakwepa fastjet ile kutua kwa kweli uwanja wa songwe ni mzuri kiasi (pengine kwa sababu ya upya) sasa tukapanda shuttle kwenda mjini 10,000/= (bei ya kulangua) nikafika hoteli ambayo ndio wanaisifia ni classic (Mbeya hotel) duuh ni kama nyumba ya makumbusho nikamuambia dereva nipeleke nyingine tukaenda Paradise Hotel (nayo ya kipuuzi pia) nikaenda nyingine (GR City) daah ndo nikajua kumbe zile sifa za wanyakyusa hapo Dar kwao hamna lolote sasa sehemu ya kula ndo ishu yaani labda uende CITY PUB hakuna sehemu nzuri ya kupata varieties. Poor Mbeya inastahili kuitwa KIJIJI CHA MBEYA si JIJI LA MBEYA mmekalia UCHAWI tu.
ni kweli mbeya haina hadhi ile ya juu ya jiji,lakini hii lugha uliyotumia si nzuri kabisa kama mbeya ambayo ni miongoni mwa majiji ya tz unatumia lugha hii sipati picha ukizungumzia mikoa kama lindi
Naona kiongozi unatumia fursa kuupa promo mji wako, safi Sana. Ila kwa uchafu hatuchekani.
acha ujinga.kwani ili mji uitwe jiji kigezo ni MAJENGO?pia mbeya ni sehemu ambayo huwezi jenga ghorofa zaidi ya sita..na baridi la kule linapelekea watu kutopendelea kushinda mahotelini ..hakuna idadi kubwa ya machangu na starehe kutokana na mazingira .mwisho si kila jiji lifanane na hapa dar ngugu
pole sana..na nazani bei ya tax tu ulibargain sijui kama uliweza kuzunguka na tax sehamu zote hizo usiku..
Kwenye red nipe sababu Mr,
Wewe unaonekana lofa mmoja hivi hata labda ndio safari yako ya kwanza kwa ndege (fastjet ya bei chee) nje ya huko dar.
Hebu, tuambie, bei ya shuttle ulitaka iwe buku moja??
Kuna viroja sijawahi ona.
Pia ungetumia lugha ya kistaarabu mbona watu wangekuelewa tuu, matusi na kashfa za nini?
Jiji la Mbeya nalipenda sana kwa hali ya yake ya hewa,pia unafuu wa bidhaa za kilimo na hata sukari kutokea Malawi,Kwa sasa mji ndio unapangiliwa tuwape muda.
Idimiok.mbeya,iringa na maeneo mengine yamezungukwa na bonde la ufa.ni miaka ya nyuma tuliona ushahidi wa matetemeko ya ardhi
ukisikia jiji la mbeya utafikiri bonge la jiji kumbe upuuzi mtupu. sasa hapa kati nilipata safari ya mbeya nikakwepa fastjet ile kutua kwa kweli uwanja wa songwe ni mzuri kiasi (pengine kwa sababu ya upya) sasa tukapanda shuttle kwenda mjini 10,000/= (bei ya kulangua) nikafika hoteli ambayo ndio wanaisifia ni classic (Mbeya hotel) duuh ni kama nyumba ya makumbusho nikamuambia dereva nipeleke nyingine tukaenda Paradise Hotel (nayo ya kipuuzi pia) nikaenda nyingine (GR City) daah ndo nikajua kumbe zile sifa za wanyakyusa hapo Dar kwao hamna lolote sasa sehemu ya kula ndo ishu yaani labda uende CITY PUB hakuna sehemu nzuri ya kupata varieties. Poor Mbeya inastahili kuitwa KIJIJI CHA MBEYA si JIJI LA MBEYA mmekalia UCHAWI tu.
Hakuna hotel kama Utengule na Hillview Bukoba Mtazamo labda Chalinze zipo ChacheBukoba kuna hoteli nzuri kuliko Mbeya...bisha?:A S 13:
Umepanic sana...watu wa mbeya bado washamba sana na mambo ya majiji
mie sio mwenyeji wa Mbeya but hizo hotel unazotaja hapa mbona wala sio za kiwango? wewe ulimwambia huyo dereva tax unataka ya kiwango gan in terms of money? kuna Hill View mfano, mbona ni kiwango tu? au wewe hukufika huko?