Nimekaa Arusha miaka 2,nashangaa kusikia Arusha hamna vumbi,pita mianzini nenda Ilboru,Olturoto,Olturerei ,Sakina zamani kulikuwa na suruali za polyster ukipita hizi njia vumbi mpaka matakoni,eti Africa hii eneo fulani hamna vumbi? Mwalimu ali declare miaka mingi ya 70s kuwa mji wa kitalii ndio maana serikali ilianza mapema kuwekeza kiasi hicho,vinginevyo ungeikuta nayo si tofauti sana na Mbagala,hayo unayoyaona Mbeya wamefanya wao uliowadharau,juhudi ya serikali ni ndogo sana.Suala la uchawi nafikiri wewe ni member wao kamili ndio uliwaona,maana tangu tumezaliwa tunapewa hadithi za uwepo wao lakini hatuwaoni,ila wewe umeenda siku 2 tayari ukawaona ina uilienda tu kutest mitambo yenu huko.