Jiji la Mbeya kama kijiji

MHHH!! hapo mumepitiliza mie nilizani ungeniambia kutokuwa na hotel nzuri na sehemu ya chakula (variaties) kama anavyosema mtoa mada kwa upande mmoja kunaonyesha ustaarabu wa wakazi wa mbeya kutokuwa na michepuko
 
shida yako wewe ni hotel,pub na guest nzuri ili iweje huwezi kupima ubora wa jiji kwa kuangalia hivo vitu vichache tu haya rudi Dar mkabanane na foleni zenu huko....panuka kimawazo mkuu
 
tz akuna jiji kunamifano ya jiji afu we unalingia dar kwani dar kwenu na wewe si wakuja tu ebu sema kwenu harisi ni wapi zn tuendelee
 

Duh naanza kukupa pole coz naona umepanic sana aisee
1. inaonekana wewe ni mala yako ya kwanza kupanda ndege ndo maana unaona shiling 10,000 ni nyingi sana.

2. unapo amua kulala gest baadala ya hotel afu kulaumu hapa huo ndo uzushi mtupu nimeenda mbeya mala nyingi sana na napata malazi mazuri mfano pale SOWETO pana hotel zaidi ya 5 ni nzuri na standard nzuri sana, na bei zao ni 40,000 - 80,000 sasa wewe unaongea uongo hapa
3. huweza lala gest ya elfu 10 afu unakuja kulalamika hapa na upande wa lodge zipo nyingi sana next tym uwe unauliza watu wanakwambia sehemu za kufikia na sio kuja kusema uongo hapa.

labda swali kwako wewe umetokea mkoa gani ili tuone uzuri wake
au na wewe kwenu DAR haaaa haaaaa
 

Sasa we umejuaje kama watu wa mbeya ni wachawi kama na wewe sio mchawi au mganga wa kienyeji
 
Nimejikuta nacheka hapa library mpaka watu wamenishangaa. Eti Sangamwalugesha. Unapafahamu huko mkuu? Nilishafika. Ni kuzuri sana!

gineee ngaluuu?....
huko napafahamu japo sio mwenyeji sana, Ila nnachojua tu kwamba boda boda za uko waga punda, afu ukiwa na 300/= unasafiri hata ma kilomita kwa huo huo usafiri sijui sasa hivi...na wanawake wa uko wakikuona tu na kisimu cha tecno haina hata aja ya kutongoza, nahisi ndio kwao na mtoa post sema atakuwa kaishi kwa shemeji yake dar basi ndo kapata kiburi cha kuandika huu upuuzi...
 
Wewe huna chimbuko lolote kijijini?? Au kwenu kwa wazazi babu na bibi ni posta mpya??
 
mavazi yao ni suti kukuu na masweta mitumba ambayo yanafuliwa na mvua
 
Niko Mbeya, kinachoniboa zaidi ni vumbiiiiiiii, ukitembea hatua tatu viatu vumbi balaaa.
Ila vitu vingine wapo poa.
 
Mtu unapelekwa sehem kulingana na hadhi yako, sio umetoka huko umekaa kishamba ukidhani utapelekwa hotel ya hadhi kama ulipelekwa city pab hiyo ndio ilikuwa hadhi yako, na kuitwa jiji kuna sifa na taratibu zake, sasa unataka uite kijiji yani mbeya uite kijiji? haya ni maajbu!
 

Mkuu mi kwetu mbeya ila kweli ni kijiji kujenga nyumba nzuri au gorofa TRA mbeya watakufatilia kama hauitaji kuishi maisha yanayolingana na kipato chako Arusha au Dar jenga unavyoweza au tembelea gari lolote hufatiliwi na mtu yeyote hapo kwetu watu wengi wana Hela wanaogopa kwa kuwa wanaminywa wakifanya chochote..
 
Hotel ungeenda Green View mkuu ipo uzunguni ni standard na iko poa. Then mji kupewa sifa ya kuwa jiji hawaangalii mazingira tuu peke yake. Kuna ishu kama wingi wa watu na hiyo ndio sifa kubwa ya jiji la mbeya.

mbeya kuitwa jiji ni kwa sababu ya wingi wa watu!
 
Ndo linakulipia umeme huko kijijini kwenu

Sisi tunajitegemea kwa umeme. Hatuhitaji wa Tanesco.

Hata kama jiji linaleta mapato mengi kwa taifa isiwe ndiyo sababu ya kuwa jiji chafu na linalonuka. Kwani hivyo vitu vinaendana?
 
Mkuu ukitaka uzuri wa mazingira,anza kuandaa kwanza kwenu.Unakuta kwen hakun hata hotel kam hzo
 
Umepanic wewe,yani unalilia uzuri wa maeneo miaka ya leo!!! wenzako tunaishi vijijini huku hata umeme hakuna but hatuna wasiwasi.Kuanza kujadili uzur ama ubaya wa maeneo ni UTOTO wa hal ya juu.Jitafakari

Vizuri sana mkuu!,naona umempa Vidonge vyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…