Mbeya ni mji wa kipuuz kama alivyosema mtoa mada. wao wanapenda sifa za kijinga tu lakini opportunities zipo ukizingatia upo njia panda ya MALAWI, ZAMBIA/ZIMBABWE/CONGO DR lakin kinachoiangusha mbeya ni UCHAWI narudia tena UCHAWI halafu ukiwakuta jumapili wanajazana makanisani utafikiri kweli wacha Mungu kumbe sanaa tu.
JIJI LA DAR ES SALAAM ni safiii mpaka rahaaaa
yaani mbeya mpaka huruma hivi hadhi ya jiji nani aliitoa kwa ki-mji kama hiki? si bora hata wangeipandisha hadhi CHATO?
Katoswa na toto la kinyaki kwel maana huu uzi ukiangalia vizur huyu jamaa alikua anatafuta kitu flan hiv i mean totoz sa katoswa bas full pov dadeq
Nimejikuta nacheka hapa library mpaka watu wamenishangaa. Eti Sangamwalugesha. Unapafahamu huko mkuu? Nilishafika. Ni kuzuri sana!Afu jamaaa anaonekana ni bonge la pungu...
Anadhani watoto wakinyakyusa wananaswa kifaraa, aendelee na wa huko huko kwao swangamwalugesha ...jinga sana huyu
yaani mbeya mpaka huruma hivi hadhi ya jiji nani aliitoa kwa ki-mji kama hiki? si bora hata wangeipandisha hadhi CHATO?