Tanga ilikuwa zamani bhana, enzi zile miaka ya 80 wakati nasoma Usagara Sec, Tanga ulikuwa ni mkoa wa 2 au wa 3 kwa ukubwa kama sijakosea. Lakini tokea walipoua viwanda vya Mbolea (TFC), CIC, Sikh Saw Mills, Chuma (T) Ltd, NASACO, BANDARI, Shirika la Reli, Zao la Mkonge nk, kila kitu kimeanguka chali imebaki Kiwanda cha Saruji tu...Mbunge Zitto Kabwe alitoa takwimu hizo kwenye page yake ya facebook muda si mrefu!Mtwara,Lindi then Tanga kwa umaskini Tanzania!!
Pamoja na kuanzia hapo, pengine ningekuuliza vile vile,Kwa hiyo kama hamna NSSF,PSPF na wengineo ndiyo HAMNA maendeleo?Mwanza na Moshi ambao hao NSSF wanajenga wanaishinda Mbeya nn?Labda ndiyo tuanzie hapo!!
Pamoja na kuanzia hapo, pengine ningekuuliza vile vile,
Je waridhika na maendeleo ya Jiji la Mbeya?
Jiji ambalo hata mkuu mmoja wa mkoa Daniel Ole Njoolay aliwahi kuliita kijiji kikubwa.
Jiji halina jengo la hadhi, halina ukumbi wa mikutano wa hadhi, halina hoteli yenye heshima, hoteli zote ni za wawekezaji wadogo wadogo.
Sasa Malafyale kama umeridhika na hilo then you have very low standards indeed!
huyo azusa angalia tu argument yake utajua ni mweupe kichwani,anazungumzia uzuri kwa kuangalia na macho yake na kisha ana conclude mzunguko wa pesa! Kazi ipo
lindi, mtwara, ruvuma, kigoma zinashika nafasi ya ngapi?
Ndio mkuuuIla kuna ukweli...?
Watu wangekuwa na akili kama yako, basi Mwanza injengwa kwa vile watalii wanaenda kutazama sangara!kwa akili yako jiji linaloweza kuwa kitovu cha utalii kwa africa kama arusha linapaswa kuwa kama arusha ilivyo?. pia hotel za kitalii ujenge mbeya na hamna watalii ili iweje?.
mie nimezaliwa mbeya na kukulia huko.nakubaliana nawe mkuu,upo sahihi kabisa hasa suala la wafanyabiashara kukimbilia mikoa mingine ni kweli kabisa.wafanyabiashara wengi wamehama huu mkoa kwa sababu ya mazingira magumu ya kibiashara yanayosababishwa na viongozi wa mkoa huu.pia wengine walifikia hata hatua ya kujiua kama yule mfanyabiashara aliyejulikana kwa jina la mgeni maarufu kama milamo.
kwa akili yako jiji linaloweza kuwa kitovu cha utalii kwa africa kama arusha linapaswa kuwa kama arusha ilivyo?. pia hotel za kitalii ujenge mbeya na hamna watalii ili iweje?.
mwanza ina watu laki saba na nusu utafananisha na mbeya ya watu laki tatu na themanini?. mwanza pia ni centre ya biashara ya lake zone tofauti kabisa na mbeya. tumia akili wewe.Watu wangekuwa na akili kama yako, basi Mwanza injengwa kwa vile watalii wanaenda kutazama sangara!