Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
Hatimaye ule mtanange wa kupata Meya katika Jiji la Kampala umemalizika na mgombea kutoka FDC kuibuka kidedea dhidi ya mpinzani wake mkubwa wa NRM.
Kiongozi huyu ameshinda kwa Kura 138 dhidi ya mpinzani wake Kura 95.Kushinda kwa chama Kikuu cha Upinzani nchini Uganda katika jiji muhimu la Kampala kunadhihirisha kuwa Majiji yote ya Afrika Mashariki yataka kuona mabadiliko wa kiungozi na utendaji pia.Muamko wa kutaka mageuzi unashika kasi katika ukanda huu.
Siku za Utawala wa Vyama Vikongwe Kuendelea kuwepo Madarakani zinahesabika.
Mdogo mdogo mpaka Ikulu.
Nawasilisha
Kutoka Ubungo Plaza-Dar es salaam
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira